Maandiko ya Biblia yalishakuwepo ila Roman Catholic ndilo kanisa lililochukua maandishi hayo kuyachambua kwa umakini kuyaunganisha na kutengeneza kitu kinaitwa Biblia ambayo ndiyo unayoifahamu wewe sasa.
Kimsingi uko sahihi kabisaaa wala hakuna Ubishi...na hao RC wako sahihi kumuabudu mungu wao! wala hakuna mutu anawasema vibaya wala kuwaponda tatizo ni wao wana jistukia kwa matendo yao kuwa wanapondwa!!
Hasa hali inakuwa mbaya zaidi ni pale Uongozi wa Roma chini ya Mfalme Constatine alivo wavuruga na kuwafanyia ukatili mkubwa Mana bii na Mitume halisi wa Mungu palee Rome akiwemo mtume Paul!
Hali hii Ya kikatili dhidi ya Mitume inawasumbua sana wana RC akiwemo Mleta mada!! hawataki kutulia kila siku kulialia tuuu!! kuwa hawapendwi!! wanapondwa wao ndo kanisa Mama Dunia nzima nk!
Miungu ipo imetajwa na Manabii kwenye Biblia takatifu! hata Mungu anaijua ipo!! Mfano mungu wa wafilist ni Baal, huyu bana aliwasaidia kumkamata Adui yao mkubwa ''Samsoni'' na kumuadhibu vikali sana.
mnalijua hilo sisemi sana hapo! mungu Osilis! (Misri ya kale)! huyu aliwasaidia Wa misri kuwa tumikisha km wana watumwa wale wana wa Israel kwa miaka 400!! ebu fikiria alivo kuwa na power!!
haya kuna mungu Olympio wa wagiriki nk! na hao miungu wapo mpaka leo! sasa na kesho! watu wanaabudu kivyao vyao tangu zama shida iko wapi??? mnajistukia buuure tu!!
Mfano mungu wa waislamu anaitwa ALAH!! huyu bana hafanani na kitu chochote Duniani yeye ni wa pekee!! na Mtume MSW! Ni mtumishi wake mwaminifu! hakuna ubishi kwa hilo! anawasaidi wao km walivyo saidiwa Waftlist!
Tatizo lina kuja kuwa ni nyie wenyewe akiwemo mleta mada ndo mna kiherehere cha wafuata fuata wenye miungu yao!! hamtaki kutuliza vinyeo vyenu hivo!! km ka mungu kako kankusaidia shida iko wapi??
Humu Duniani watu tupo tofauti tofauti Tangu zama za kale kuna uzzao wa kina Cain! tunao wengi tu!! kuna Uzao wa Seth tunao humu! tena wengine mnazaliwa nao kwenye familia zenu kabisaa lkn hawana Nafsi!
Yaani unaona kabisa huyu ndugu yangu hajatimia huko up stairs kulingana na matendo yake tu yanakupa Hint! Maajabu yanakuja weye unasali na kamungu kako lkn ...
bado eti unawaza Mungu wa Sabato!! basi nenda kajiunge hukooooooo!! umalize kiu yako!!..kujiunga ni bure tu si uajribu tu uone utamu wa kuwa ndani ya Yesu wa ukweli???
Achana na yule yesu wa Vatican!! yule ni wa watawala wazungu wa vatican wao wako sahihi!! eti kakijana ka kizungu!! karembooo!! kana vindevu hivi;
hivi hujiulizi yule kijana kweli aliwezaje kubeba msalaba! mlaini vile?? hata zile Bakora za Askari wa Kirumi sijui aliwezaje kuzimudu!! wazungu wanvyopendana vile??
Tafadhali sana Msitusumbue humu JF! mnajza saver za JF bure tu! moderator sijui wamelala!! Eb Max nipe ajira hapo Jf niwe nawapiga pin watu km hawa!