Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

nakubaliana na wewe kuhusu kuenea. kanisa la RC limeenea kila mahali . hata hivyo ni ajabu kwamba hadi leo halijabadilisha maisha ya watu kiroho, linaabudisha dini na watu hawamwoni Mungu kupitia hilo kanisa.
 
nakubaliana na wewe kuhusu kuenea. kanisa la RC limeenea kila mahali . hata hivyo ni ajabu kwamba hadi leo halijabadilisha maisha ya watu kiroho, linaabudisha dini na watu hawamwoni Mungu kupitia hilo kanisa.
Wanaabudu kimazoea
 
Unataka Kusema kuwa CCM hatakiwi kujibishana na Kina Chadema?!!!
 
Catholic Church as an Instituition iko Strong sana, but hapa tunaongelea LEGITIMACY ya CATHOLIC FAITH kama sehemu ya UKRISTO na BIBLIA ikiwa ndo KIELELEZO, kuwa na idadi kubwa YA WAUMINI siyo kigezo cha PERFECTION ya IMANI maana Mungu haangalii WINGI bali hutazama MIOYO ya hao watu walio wengi. ( Mathayo 7:13-14, 1 Samweli 16:7)

Kama ni namba ndo Usahihi wa Imani basi kuna Waislam karibia Bilioni 1.9, kwahiyo kwa maneno yako tuseme ISLAM ndo imani ya walio kwenye njia ya haki.
 
Kipimo cha Usahihi wa Imani ni Mwongozo wa Imani husika ambayo kwa Ukristo ni Biblia.
Uta-challenge Imani pale unapokutana na Majaribu.
Kweli kabisa hata hawa wenye majina makubwa hapa mjini si wote wako kwenye USAHIHI ( Mathayo 24: 4 - 28)

Hata nawe ulichoandika hapo ni PRIVATE INTERPRETATION according to kile ulichoaminishwa...
 
Kama usipojali mkuu unaweza kutumwagia hapa huo mchakato wa kuunda biblia ulifanyika vipi na ulifanywa na mapadri, maparoko au maaskofu gani wa Kikatoliki kwa majina kabisa. Naamini kama nikweli utawapata kwa maana Katoliki ni kanisa lililo makini saana ktk kuweka kumbukumbu.
Natanguliza shukurani.
 
Hii miradi yote ya kanisa katoliki uliyoorodhesha inawanufaisha nini wakatoliki Tanzania?

Nipe mfano hai.
 
Yote yanasadifu kuwa Roma haikujengwa kwa siku moja.
 
[emoji363]

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Maandiko ya Biblia yalishakuwepo ila Roman Catholic ndilo kanisa lililochukua maandishi hayo kuyachambua kwa umakini kuyaunganisha na kutengeneza kitu kinaitwa Biblia ambayo ndiyo unayoifahamu wewe sasa.
Kimsingi uko sahihi kabisaaa wala hakuna Ubishi...na hao RC wako sahihi kumuabudu mungu wao! wala hakuna mutu anawasema vibaya wala kuwaponda tatizo ni wao wana jistukia kwa matendo yao kuwa wanapondwa!!

Hasa hali inakuwa mbaya zaidi ni pale Uongozi wa Roma chini ya Mfalme Constatine alivo wavuruga na kuwafanyia ukatili mkubwa Mana bii na Mitume halisi wa Mungu palee Rome akiwemo mtume Paul!

Hali hii Ya kikatili dhidi ya Mitume inawasumbua sana wana RC akiwemo Mleta mada!! hawataki kutulia kila siku kulialia tuuu!! kuwa hawapendwi!! wanapondwa wao ndo kanisa Mama Dunia nzima nk!

Miungu ipo imetajwa na Manabii kwenye Biblia takatifu! hata Mungu anaijua ipo!! Mfano mungu wa wafilist ni Baal, huyu bana aliwasaidia kumkamata Adui yao mkubwa ''Samsoni'' na kumuadhibu vikali sana.

mnalijua hilo sisemi sana hapo! mungu Osilis! (Misri ya kale)! huyu aliwasaidia Wa misri kuwa tumikisha km wana watumwa wale wana wa Israel kwa miaka 400!! ebu fikiria alivo kuwa na power!!

haya kuna mungu Olympio wa wagiriki nk! na hao miungu wapo mpaka leo! sasa na kesho! watu wanaabudu kivyao vyao tangu zama shida iko wapi??? mnajistukia buuure tu!!

Mfano mungu wa waislamu anaitwa ALAH!! huyu bana hafanani na kitu chochote Duniani yeye ni wa pekee!! na Mtume MSW! Ni mtumishi wake mwaminifu! hakuna ubishi kwa hilo! anawasaidi wao km walivyo saidiwa Waftlist!

Tatizo lina kuja kuwa ni nyie wenyewe akiwemo mleta mada ndo mna kiherehere cha wafuata fuata wenye miungu yao!! hamtaki kutuliza vinyeo vyenu hivo!! km ka mungu kako kankusaidia shida iko wapi??

Humu Duniani watu tupo tofauti tofauti Tangu zama za kale kuna uzzao wa kina Cain! tunao wengi tu!! kuna Uzao wa Seth tunao humu! tena wengine mnazaliwa nao kwenye familia zenu kabisaa lkn hawana Nafsi!

Yaani unaona kabisa huyu ndugu yangu hajatimia huko up stairs kulingana na matendo yake tu yanakupa Hint! Maajabu yanakuja weye unasali na kamungu kako lkn ...

bado eti unawaza Mungu wa Sabato!! basi nenda kajiunge hukooooooo!! umalize kiu yako!!..kujiunga ni bure tu si uajribu tu uone utamu wa kuwa ndani ya Yesu wa ukweli???

Achana na yule yesu wa Vatican!! yule ni wa watawala wazungu wa vatican wao wako sahihi!! eti kakijana ka kizungu!! karembooo!! kana vindevu hivi;

hivi hujiulizi yule kijana kweli aliwezaje kubeba msalaba! mlaini vile?? hata zile Bakora za Askari wa Kirumi sijui aliwezaje kuzimudu!! wazungu wanvyopendana vile??

Tafadhali sana Msitusumbue humu JF! mnajza saver za JF bure tu! moderator sijui wamelala!! Eb Max nipe ajira hapo Jf niwe nawapiga pin watu km hawa!
 
Mbona makasiriko kama mtumishi wa umma

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Zero. Yani kuna majitu hadi saa hizi yanaaamini conspiracy theories, Constantine alikuwa nani labda kwenye kanisa? Bwege kweli. Get your facts straight.
 
Ee Bikira Maria Malkia wa amani, Utuombee [emoji120]
 
Halafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu. Mmakonde, Mmachinga, Mmsai, Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.
Catholic = Universal

Bikira Maria Mama wa huruma Utuombee [emoji120]
 
Roma ni Italia. Waingereza, wajerumani, wagiriki, wahispaniola, na hata wahindi na wachina nao hawahusiki na Catholic.

Na wao wakatafute Mungu wao.
Catholic = Universal

Bikira Maria mama wa mkombozi utuombee [emoji120]
 
Ukristo = Ukatoliki
Ukatoliki = Ukristo

Bikira Maria mama mwombezi wetu Utuombee [emoji120]
 
Hii miradi yote ya kanisa katoliki uliyoorodhesha inawanufaisha nini wakatoliki Tanzania?

Nipe mfano hai.
Manufaa makubwa sana
Nimesoma shule ya seminary mwanzo mwisho nimesoma chuo pale SAUT nimetibiwa pale Bugando kubwa zaidi ninapata huduma bora kabisa za kiroho katika Kanisa langu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…