Bro bwana unasikitisha sana, binafsi nimeoa muislam na dada yangu kaolewa na muislam ila nawadharau sana waislam kwa kuwa wengi upeo wao wa kujua na kuchanganua mambo ni mdogo sana. Hoja zao nyingi ni mfu sana. Mbona jamaa wamekuleza vizuri kuhusu Biblia.
Biblia linatokana na Neno la kigiriki "Biblos" likimaanisha "Muunganiko wa Vitabu" . Vitabu hivi vimeandikwa na watu 40 tofauti waluoishi miaka 1600 tofauti. Vitabu vya Mwanzo vitano vya Musa(Penta books) viliandikwa na Musa mwenyewe kwa kuambiwa cha kuandika na Mungu mwenyewe. KUTOKA 17:14. Vitabu vingine vimeandikwa 8 vya awali agano la kale vimeandikwa na Waandishi, Manabii, Wafalme na Makuhani kwa kuambiwa na Mungu mwenyewe na vilikusanywa na kuwekwa kwenye Gombo la Chuo na Nehemia. Vitabu vingine vya agano la kale pia viliandikwa na Manabii, Makuhani, waandishi na vilohifadhiwa toka vizazi hadi vizazi vya wana wa Israel na vilikuwa vikisomwa kila Sabato na ndio maana Yesu alisoma kwenye Sinagogi Isaya 61:1-4. Agano la kale liliandikwa kwa lugha ya kiebrania na lufha ya kale ya "kiaramic" wakati Agano jipya liliandikwa kigiriki na Mitume na Manabii wa Agano jioya kwa uobgozi wa Mungu wenyewe maana Mungu alisema na wanadamu pitia vinywa vya wanadamu. 2 Timotheo 3:16-17, 2Samweli 23:2, 2 Petro 1:20-21, Yeremia 36:2-8. Watu hao 40 wote walikuwa nq Ujumbe unaofanana yaani toka Anguko la Mwanadamu, Ukombozi wa mwanadamu na Nchi mpya na mbingu Mpya.
Baada ya kusambaa kwa ukristo dunia nzima, ilipaswa Biblia iandikwe kwa watu wa kila lugha na jamaa kwani ukumbozi wa Mwanadamu uliwahusu watu wa kila lugha, jamaa na mataifa(Ufunuo 7:9-10) na agizo la Yesu ni sharti injili ihubiriwe ulimwenguni kote (Mathayo 24:14) hivyo ni vyema Mataifa yahubiriwe kwa lugha zao na sio kiebrania, kiaramic ambacho kimeshapotea duniani na kigiriki cha kale ambacho nacho hakipo. Mimi mmasai ni sharti nihubiriwe kimasai na ndipo Biblia ikatafsiriwa kwenda kiswahilo, kichaga, kihehe, kisukuma n.k. kwani Mungu wetu ndio muanzilishi wa lugha zote duniani pale alipozichafua lugha wakati wa kujenga mnara wa Babeli[Mwanzo 11:9] hata mitume wa mwanzo wa Yesu walipokea nguvu ya Roho Mtakatifu nao waluongea lugha za wanadamu tofauti na zao kwa ajili ya kwenda kuhubiri kwa kila Lugha na Mataifa.[Matendo 2:5-13]
Sasa kwanini Uislam na kiarabu tu. Kwa sababu allah hajui lugha nyingine wala hawezi jibu maombi nje ya Lugha ya kiarabu