Waumini wa Nabii GeorDavie wanamjua Mungu? Wana roho ya kikatili wanaweza kummaliza mtu, tuwaombee

Manabii na wafuasi wao huwa wananishangaza vitendo vyao. Zumaridi tu ana kikosi kikubwa. Bongo ukikosa chawa jua una gundu kali sana
 
Watu mmepumbazwa mkapumbazika haswa
 
Mkuu kama ww ni mwanaume una mke mweupe upo karbu na huyo mshkaji kuwa makin sana master [emoji22]
 
Mwingine aliyeshikwa akili huyu hapa
 
Ni kwel usemaya ndugu ...kuna siku alisema biblia imekorogwa sana kama italetwa original hapo basi wakiristo wote watakuwa waislam..vile vile alisema yesu sio mungu wala mwana wa mungu ..hyo ndio iman yake akaongeza kuwa tuvumiliano tu na twende hvyo hvyo...
 
Ah wapi!,Hiyo ni siri ya Mungu mwenyewe,Yeye anaweza kuona hata yaliyofichika.
Umejibu Simple Afu Kiurefu zaidi... WATU WANAACHA KWENDA KUMUABUDU MUNGU KANISANI WANA ANZA KUABUDU Watu wanajirudisha zama Za ujinga Za zamani Za kuabudu miungu.. Mara mchangaji wa ukweli Hapa Tanzania ni Fulani Tu Utazani Amemuona Alivyo yani watu sasa hivi wanajikuta wanaona hata ya Sirini Wakati NI Mungu PEKEE MWENYE KUWEZA KUJUA HUYU SAWA HUYU SI SAWA.

"ACHA MAKAPI NA NGANO VIJICHANGANYE ATAKAPO RUDI BWANA WETU YESU KRISTO NDIO ATAJUA WAKE NI YUPI NA ASIE WAKE NI YUPI "
 

Shida ya wamama wanaanza kuweka tattoo ya nabii mwenye roho mtakavitu.
 
Nimekuhurumia sana. Ni maombi yangu siku moja utatoka hapo
 
Sasa si bora nabii anasaidia maskini ,kuliko hizo bla bla za lema, ambaye yeye anasaidia familia yake tu, lakini nabii Kavuka stage ya familia, kaenda mpaka kwenye jamii kusaidia wananchi wa kawaida,by the way ,wale watu walizungumza vitu vyenye logic,mtu anaesaidia kwa vitendo atapendwa,na sio maneno mengi vitendo zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…