Waumini wa Nabii GeorDavie wanamjua Mungu? Wana roho ya kikatili wanaweza kummaliza mtu, tuwaombee

Waumini wa Nabii GeorDavie wanamjua Mungu? Wana roho ya kikatili wanaweza kummaliza mtu, tuwaombee

Manabii na wafuasi wao huwa wananishangaza vitendo vyao. Zumaridi tu ana kikosi kikubwa. Bongo ukikosa chawa jua una gundu kali sana
 
Mnamfuatilia sana Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Msemaji wa serikali ya mbinguni hapa Duniani.

Geor Davie ndio nabii pekee anaetambuliwa na Mungu hapa Duniani, hakuna mwingine. Wewe kama unaamini nabii mwingine yeyote jua imekula kwako, mbinguni utaishia kupasikia redioni.
Watu mmepumbazwa mkapumbazika haswa
 
Mnamfuatilia sana Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Msemaji wa Serikali ya Mbinguni hapa duniani.

Geor Davie ndio Nabii pekee anayetambuliwa na Mungu hapa duniani, hakuna mwingine. Wewe kama unaamini Nabii mwingine yeyote jua imekula kwako, mbinguni utaishia kupasikia redioni.
Mkuu kama ww ni mwanaume una mke mweupe upo karbu na huyo mshkaji kuwa makin sana master [emoji22]
 
Mnamfuatilia sana Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Msemaji wa Serikali ya Mbinguni hapa duniani.

Geor Davie ndio Nabii pekee anayetambuliwa na Mungu hapa duniani, hakuna mwingine. Wewe kama unaamini Nabii mwingine yeyote jua imekula kwako, mbinguni utaishia kupasikia redioni.
Mwingine aliyeshikwa akili huyu hapa
 
Mnamfuatilia sana Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Msemaji wa Serikali ya Mbinguni hapa duniani.

Geor Davie ndio Nabii pekee anayetambuliwa na Mungu hapa duniani, hakuna mwingine. Wewe kama unaamini Nabii mwingine yeyote jua imekula kwako, mbinguni utaishia kupasikia redioni.
Ni kwel usemaya ndugu ...kuna siku alisema biblia imekorogwa sana kama italetwa original hapo basi wakiristo wote watakuwa waislam..vile vile alisema yesu sio mungu wala mwana wa mungu ..hyo ndio iman yake akaongeza kuwa tuvumiliano tu na twende hvyo hvyo...
 
Ah wapi!,Hiyo ni siri ya Mungu mwenyewe,Yeye anaweza kuona hata yaliyofichika.
Umejibu Simple Afu Kiurefu zaidi... WATU WANAACHA KWENDA KUMUABUDU MUNGU KANISANI WANA ANZA KUABUDU Watu wanajirudisha zama Za ujinga Za zamani Za kuabudu miungu.. Mara mchangaji wa ukweli Hapa Tanzania ni Fulani Tu Utazani Amemuona Alivyo yani watu sasa hivi wanajikuta wanaona hata ya Sirini Wakati NI Mungu PEKEE MWENYE KUWEZA KUJUA HUYU SAWA HUYU SI SAWA.

"ACHA MAKAPI NA NGANO VIJICHANGANYE ATAKAPO RUDI BWANA WETU YESU KRISTO NDIO ATAJUA WAKE NI YUPI NA ASIE WAKE NI YUPI "
 
Nimeangalia clip ya wanaojitahidi waumini wa GeorDavie au wafanyabiashara soko la Samunge Arusha utagundua binadamu wanapenda kumsingizia Mungu.

Kwanza kwao, tishio la mauaji, as long haligusi watoto wao, siyo shida. Wanaona kama Lema anaigiza kisa kugusa milioni mia moja. Hakuna mcha Mungu anaweza kuweka msaada mbele na Mungu nyuma, watathimini nafsi zao.

Pili, uzuri wa GeorDavie kwao si kuwa mtumishi wa Mungu. Wao kwao ni magari anayotoa na maisha ya kifahari. Waumini wa aina hii sidhani kama wanapata muda wa kusoma Biblia.

Tatu, kwa aina ya mwonekano, siyo waumini wa GeorDavie. Wana sura ambazo zinatokea kwenye viti virefu hivyo uwezekano kanisa na nabii ametumika kama gia kuwasilisha maumivu ya watawala. Next time watafute watu sahihi kwenye maigizo kama haya.

Mwisho, viongozi wa dini jitahidini kuwalinda sana waumini wenu wasiwaingize kwenye migogoro ya kisiasa. Hawa wanasiasa wanaoonekana kuwa upinzani huko Tanzania kesho watakaa viti vya mbele, aidha wakiwa upinzani au wakiwa chama tawala. Taasisi za dini jitenge na wanasiasa.

Shida ya wamama wanaanza kuweka tattoo ya nabii mwenye roho mtakavitu.
 
Mnamfuatilia sana Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Msemaji wa Serikali ya Mbinguni hapa duniani.

Geor Davie ndio Nabii pekee anayetambuliwa na Mungu hapa duniani, hakuna mwingine. Wewe kama unaamini Nabii mwingine yeyote jua imekula kwako, mbinguni utaishia kupasikia redioni.
Nimekuhurumia sana. Ni maombi yangu siku moja utatoka hapo
 
Sasa si bora nabii anasaidia maskini ,kuliko hizo bla bla za lema, ambaye yeye anasaidia familia yake tu, lakini nabii Kavuka stage ya familia, kaenda mpaka kwenye jamii kusaidia wananchi wa kawaida,by the way ,wale watu walizungumza vitu vyenye logic,mtu anaesaidia kwa vitendo atapendwa,na sio maneno mengi vitendo zero.
 
Back
Top Bottom