DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #61
Mkuu Dini ni imani sio sheria wala ithibatiIfike mahali taasisi za kidini zikemee na kutoa adhabu kwa sababu hii ni mbaya kwa vizazi vinavyokuja ...Kuchezea dini kiutani baadae inakuwa mazoea kabisa na kupoteza mvuto wa maandiko halisi.
Ushirikina Una mawanda mapanaHivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.
Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?j
Sawa ila hii inapelekea katika upotovu na pia imani ya mtu inaendana na matendo ,huwezi kuwa na imani halafu mzinzi ,unavaa uchi ,unafanya mambo ya hovyo ,kuchapa watu kama hivyo ni kudhalilisha watu.Mkuu Dini ni imani sio sheria wala ithibati
Je na yeye akikwambia kuwa roho mtakatifu aliyemtokea yohana kumwambia adumbukize watu kweny maji ndo kamtokea kamwambia awacharaze utamwamini? Kwamba ili kuondoa uovu lazima ucharazwe?Sawa ila hii inapelekea katika upotovu na pia imani ya mtu inaendana na matendo ,huwezi kuwa na imani halafu mzinzi ,unavaa uchi ,unafanya mambo ya hovyo ,kuchapa watu kama hivyo ni kudhalilisha watu.
Nampiga marufuku kufika kwangu.Hahaah imagine ni ndugu yako unamuona utamshauri nini
Hii ni seminar ya wanandoa, kila mtu na mke wake wanafunzwa kuombeanaKupanga ni kuchagua. Wakati hao wanasali kwa jacho machozi, machungu, maumivu na damu, wenzao huku wana sali kilaiiinii kama vile wapo Santorini au visiwa vya Barbados
View attachment 2761518
Aaah we Acha nikae tu ja ndo tumefikia uko, Kushikana viuno ja kunyonyana manyonyo ibadani.Kupanga ni kuchagua. Wakati hao wanasali kwa jacho machozi, machungu, maumivu na damu, wenzao huku wana sali kilaiiinii kama vile wapo Santorini au visiwa vya Barbados
View attachment 2761518
HakikaDini bila kuishirikisha akili ni ujinga
Hili litakuwa kusanyiko la wanandoa la kuombeana/kutoana pepo chafu la ngono labda.Kupanga ni kuchagua. Wakati hao wanasali kwa jacho machozi, machungu, maumivu na damu, wenzao huku wana sali kilaiiinii kama vile wapo Santorini au visiwa vya Barbados
View attachment 2761518
Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.
Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?