Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
 
View attachment 3332807
Yuko urusi
 
Sasa wewe mleta mada umesema mzee wasira ni swahiba wako,huoni kwamba wewe ndo ulipaswa kutujuza kuhusu hali yake hivi sasa ?
 
yuko gereji kusetiwa mwili umeachana

pia msongo wa mawazo ,hakuna kitu kibaya kwenda kuongea na waliobebwa na magari na wakaachwa solemba baada ya mkutano kwisha
 
Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Upo gym anajifua
 
Yule hatoboi mwezi wa 6 bendera nusu mlingoti, nimekaa pale👉
 
Back
Top Bottom