Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807