Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

Sasa wewe mleta mada umesema mzee wasira ni swahiba wako,huoni kwamba wewe ndo ulipaswa kutujuza kuhusu hali yake hivi sasa ?
Hajulikani alipo! Mbona jamaa zetu wengi hawajulikani walipo?
Au mpaka tuanzishe mchakato "FREE MZEE STEVEN?" Mnauchonganishi nyie! Hivi mzee Steven anaweza kupotea au kupotezwa? Hebu mi mcheke!
 
Sheikh, miaka 80+ ni umri wa kupumzika tu nyumbani. Yaani ukifikisha umri huo huna tofauti na gari la mkaa.
Mimi nikifika 60 tu ni kukaa ndani kusafir kwa sana na d’aventure reading books na kuangalia miamala tu

Sio Tena purukushan za maisha kama wasira
80 years ni umri mkubwa snaa kwa binaadam kufanya mambo kama ya wasira
Shame
 
Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Mkuu wewe ni mgeni na gari la mkaa?
 
Hajulikani alipo! Mbona jamaa zetu wengi hawajulikani walipo?
Au mpaka tuanzishe mchakato "FREE MZEE STEVEN?" Mnauchonganishi nyie! Hivi mzee Steven anaweza kupotea au kupotezwa? Hebu mi mcheke!
tutamzingatia mkianza kuwazingatia watu wetu mliowaficha pia
 
Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807

Alikuwa anatamani mdahalo na Lissu labda anajifua kusubiria aachiliwe ambananishe.

Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa maoni tafadhali.
 
Zamani Akiwa Mbunge Wa Bunda
Ilianzishwa Campaign Inaitwa
TOWABU (Toa Wassira Bunda, )
Haa Akawa Anahaha Sana
 
Mimi nikifika 60 tu ni kukaa ndani kusafir kwa sana na d’aventure reading books na kuangalia miamala tu

Sio Tena purukushan za maisha kama wasira
80 years ni umri mkubwa snaa kwa binaadam kufanya mambo kama ya wasira
Shame
Utatakiwa pia kufanya mwzoezi kila siku. Na hasa ya kutembea kutoka eneo moja kwenda lingine. Ila siyo purukushani anazotakiwa kufanya Mzee Wassira kwenye chama chake akiwa kama Makamu Mwenyekiti.
 
Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Rip striving wahasia

Rip stivo wahasira. 😃
 
Inasemekana kabadilika ghafla kiafya kumbukumbu zinakimbia sametimes
 
Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM
Ukweli ni mchungu. Sasa inaanza kubainika; CCM ni dubwasha tu linalotumiwa na genge la watu wachache sana kuwaingiza mkenge hawa wote, akina Wasira waliokuwa wamelala usingizi wa pono. Wanakuja kutambua kuwa wanatumika tu.

Hata hao walafi wengi walioko huko ndani ya CCM, wameanza kustushwa na mwenendo wa matukio ambayo hata wao na ulafi wao mwingi wasingeweza kuyategemea chama chao kiyafanye.

Ni mTanzania gani anayeweza kumfanyia maovu mTanzania mwenzake, kama haya yanayotokea sasa. Hii ni kazi ya genge la watu wachache, wanaotumia jina la CCM kuchafua nchi, kwa sababu tu za kutaka Samia abaki madarakani kwa nguvu; hata ikibidi kumwaga damu ya waTanzania.
Hiyo haiwezi kuwa CCM iliyo asisiwa na wazee wetu.
 
1747166854895.jpeg

Ana recharge nguvu kwanza😂
 
Pumzi zimemkata saa mingi saana....anakula zake mashavu ya mishahara minono.
 
Ukweli ni mchungu. Sasa inaanza kubainika; CCM ni dubwasha tu linalotumiwa na genge la watu wachache sana kuwaingiza mkenge hawa wote, akina Wasira waliokuwa wamelala usingizi wa pono. Wanakuja kutambua kuwa wanatumika tu.

Hata hao walafi wengi walioko huko ndani ya CCM, wameanza kustushwa na mwenendo wa matukio ambayo hata wao na ulafi wao mwingi wasingeweza kuyategemea chama chao kiyafanye.

Ni mTanzania gani anayeweza kumfanyia maovu mTanzania mwenzake, kama haya yanayotokea sasa. Hii ni kazi ya genge la watu wachache, wanaotumia jina la CCM kuchafua nchi, kwa sababu tu za kutaka Samia abaki madarakani kwa nguvu; hata ikibidi kumwaga damu ya waTanzania.
Hiyo haiwezi kuwa CCM iliyo asisiwa na wazee wetu.
Asante mkuu
 
Sijamuona hata kwenye kumuaga mzee msuya dar hata huko same..
Inawezekana akawa hoi taabani.
leslie-jordan-leslie.gif

Inawezekana aliamka siku moja na kuanza mahoka, ikabidi familia iweke mguu chini.

CCM walisahau kuwa umri unavyozidi kwenda mbele ndio akili inazidi kurudi nyuma na kuwa ya kitoto.

Ni swala la muda tu mzee atatoa gaga puani na kulila, kama mtoto vile tena mbele ya hadhara ya watu.😂😂

Vikimchachia kabisa atawapiga bakora wote kuanzia mwenyekiti mpaka machawa wake😂😂
 
Back
Top Bottom