Kaenda kuchaji nyota apendwe na mazaSijamuona hata kwenye kumuaga mzee msuya dar hata huko same..
Inawezekana akawa huo taabani.
Yuko urusiNilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Upo gym anajifuaNilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Yule hatoboi mwezi wa 6 bendera nusu mlingoti, nimekaa pale👉Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Heche anamzidi hata boss wake LisuYule mwepesi kama karatasi mbele ya heche😂😂😂, afurukute amuanikie ujinga wake wote Hadi wajukuu zake watajua
Sheikh, miaka 80+ ni umri wa kupumzika tu nyumbani. Yaani ukifikisha umri huo huna tofauti na gari la mkaa.Kha! Mosie iwe! Gari la mkaa tena?
Wabongo mnajua ku sniff mmmhSijamuona hata kwenye kumuaga mzee msuya dar hata huko same..
Inawezekana akawa hoi taabani.