Hajulikani alipo! Mbona jamaa zetu wengi hawajulikani walipo?Sasa wewe mleta mada umesema mzee wasira ni swahiba wako,huoni kwamba wewe ndo ulipaswa kutujuza kuhusu hali yake hivi sasa ?
Mimi nikifika 60 tu ni kukaa ndani kusafir kwa sana na d’aventure reading books na kuangalia miamala tuSheikh, miaka 80+ ni umri wa kupumzika tu nyumbani. Yaani ukifikisha umri huo huna tofauti na gari la mkaa.
Mkuu wewe ni mgeni na gari la mkaa?Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
tutamzingatia mkianza kuwazingatia watu wetu mliowaficha piaHajulikani alipo! Mbona jamaa zetu wengi hawajulikani walipo?
Au mpaka tuanzishe mchakato "FREE MZEE STEVEN?" Mnauchonganishi nyie! Hivi mzee Steven anaweza kupotea au kupotezwa? Hebu mi mcheke!
Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Utatakiwa pia kufanya mwzoezi kila siku. Na hasa ya kutembea kutoka eneo moja kwenda lingine. Ila siyo purukushani anazotakiwa kufanya Mzee Wassira kwenye chama chake akiwa kama Makamu Mwenyekiti.Mimi nikifika 60 tu ni kukaa ndani kusafir kwa sana na d’aventure reading books na kuangalia miamala tu
Sio Tena purukushan za maisha kama wasira
80 years ni umri mkubwa snaa kwa binaadam kufanya mambo kama ya wasira
Shame
Rip striving wahasiaNilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Rip stivo wahasira. 😃Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Wassira anaongoza kikao cha kutengeneza ilani ya Uchaguzi pale LumumbaRip striving wahasia
Rip stivo wahasira. 😃
Inasemekana kabadilika ghafla kiafya kumbukumbu zinakimbia sametimesNilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau.
Sasa anayejua yuko wapi atujulishe tume miss na kama kachoka sana tufanye substitute maana haya mapafu ya Heche sio ya kuchezea!
Ule mziki nimeona jana kule Igoma Mwanza usipopata mpambanaji "twafa". Ila msituletee watu kama yule mwenye "mikono michafu" aliyetangazwa na Gambo, maana watamhoji sana mbona una "red hands"?
View attachment 3332807
Lol. Basi tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa kumjali ulaji na uzima. Nilidhani yuko mako madogo ya CCM Lipumba siyo Lumumba.Wassira anaongoza kikao cha kutengeneza ilani ya Uchaguzi pale Lumumba
Wajukuu zake ni watu wazima sana. Aende nyumba za kulelea wazee.Huenda aliwekwa ili kujaza tu nafasi. Maana kwa umri wake hana tofauti na gari la mkaa. Yaani anahitaji zaidi muda wa kupumzika na wajukuu zake, kuliko kuhangaishwa huku na kule.
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH azidi kupungukiwa lau awe punguani.Inasemekana kabadilika ghafla kiafya kumbukumbu zinakimbia sametimes
Ukweli ni mchungu. Sasa inaanza kubainika; CCM ni dubwasha tu linalotumiwa na genge la watu wachache sana kuwaingiza mkenge hawa wote, akina Wasira waliokuwa wamelala usingizi wa pono. Wanakuja kutambua kuwa wanatumika tu.Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM
RIP Stivo Waharisa na inshallah iwe hivyo
Asante mkuuUkweli ni mchungu. Sasa inaanza kubainika; CCM ni dubwasha tu linalotumiwa na genge la watu wachache sana kuwaingiza mkenge hawa wote, akina Wasira waliokuwa wamelala usingizi wa pono. Wanakuja kutambua kuwa wanatumika tu.
Hata hao walafi wengi walioko huko ndani ya CCM, wameanza kustushwa na mwenendo wa matukio ambayo hata wao na ulafi wao mwingi wasingeweza kuyategemea chama chao kiyafanye.
Ni mTanzania gani anayeweza kumfanyia maovu mTanzania mwenzake, kama haya yanayotokea sasa. Hii ni kazi ya genge la watu wachache, wanaotumia jina la CCM kuchafua nchi, kwa sababu tu za kutaka Samia abaki madarakani kwa nguvu; hata ikibidi kumwaga damu ya waTanzania.
Hiyo haiwezi kuwa CCM iliyo asisiwa na wazee wetu.
Sijamuona hata kwenye kumuaga mzee msuya dar hata huko same..
Inawezekana akawa hoi taabani.