Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

ni hatari itakuwa ameomba poo.
Umri unakuja na mengi.

Kuna baadhi ya mambo yanaungana na kuanza kufanya kazi kwa pamoja. Mfano chafya, inaambatana na ushuzi, mkojo mixer uharo. Inakuwa mwili umepiga screenshot😂.

Itakuwa mzee kakaa na kujitathmini akaomba poo kwanza kabla kuja kuumbuka mbele ya kadamnasi.
 
Wengi wa hao wameanza kujiuliza na kuhoji ni CCM ipi hasa wanayoitumikia; baada ya kuona na kutambua kinachoendelea chini ya kapeti.

Wengi hawaamini ni CCM ileile waliyoizoea miaka yote. Hii CCM ni wazi inao utofauti mkubwa sana.

Kwa mfano: Pamoja na uwepo wa upungufu mkubwa katika kuwapata na kuwateua viongozi wao wa ngazi za juu, hapajawahi kuwepo na sarakasi kama iliyotumiwa na Samia kujiteua kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho.

Kama hiyo haitoshi, sasa wanaona nguvu kubwa sana inatumika kuhakikisha kuwa mteule huyu huyu, ni lazima ashinde, kwa njia yoyote ya haramu; hata ikilazimu waTanzania kupoteza maisha.
Hili limewastua baadhi yao ndani ya chama, na kuanza kujiuliza maswali magumu. Inawezekana, sisemi 'stivo' naye anaweza kuwa anajiuliza maswali ya namna hiyo. Kwani ni lazima Samia awe rais wa nchi hii kwa gharama yoyote?
 
Yupo ilala anachagua laba za kuvalia kaunda. Siku akiibuka utaskia HUYU KIJANA KUTOKA TAARIME ANAITWA HECHE .. HAMNA KITU KABISA. Halafu anachapa usingizi wa pono
 
Sijamuona hata kwenye kumuaga mzee msuya dar hata huko same..
Inawezekana akawa hoi taabani.
Kama si kuchoka au ugonjwa; basi kunaweza kuwepo na sababu nzuri zaidi. Hii ni Tanzania, wote wenye umri huo na wengi waliomo ndani ya CCM sasa hivi katika ngazi mbalimbali za uongozi walipitia katika mikono ya waasisi wa chama hicho. Hapa katikati, urafi umewagubika wengi wakasahau miiko ya chama, na kuanza kufikiri manufaa binafsi tu basi.
Lakini hali hii inayojitokeza sasa nchini, inawastua wengi na kuanza kujiuliza maswali magumu. Inawezekana kabisa Wasira naye kagundua kwamba kawekwa hapo kutumika tu, kama kikaratasi cha chooni. Mzee wa watu inawezekana mstuko huo ndio unaomsumbua sasa hivi.
Hii CCM tuliyo nayo sasa, chini ya Samia imevuka viwango vyote vya yale yaliyo hubiriwa na waasisi wa chama hicho.
Tuvute subira kidogo, karibu kunapambazuka!
 
Kabisa
 
Wajukuu zake ni watu wazima sana. Aende nyumba za kulelea wazee.
Ili kumuenzi swahiba wetu Stive, tusimpeleke nyumba ya wazee bali Makumbusho ya taifa kwa faida au hasara zake alizosababishia taidq
 
Subiri akitoka yuko matengenezo

 
Engine imenoki tayari,jitu lina miaka 90 linataka kupimana nguvu na Heche,wache liteseke huko.
 
Ila kuna kipindi watu waliwahi kuhoji sana kipindi cha Abdulrahaman Kinana yuko wapi?
Baada ya kimya kingi alikuja kuibukia kwenye msiba wa CEO wa Kampuni fulani ya ndege kada ya kasikazini
 
Nimeweka hapa wakafuta kuwa amekwenda nje kutibiwa kimya kimya, wakafuta ...afya mgogoro
 
on medical grounds abroad
 
Wasijekuwa wamefanya yao
Si tulionywa tusiache maji ya kunywa mezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…