Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

Yupo ilala anachagua laba za kuvalia kaunda. Siku akiibuka utaskia HUYU KIJANA KUTOKA TAARIME ANAITWA HECHE .. HAMNA KITU KABISA. Halafu anachapa usingizi wa pono
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Yupo anashinda na lissu huko gerezani. Anaforce mazingira amshawishi amnunue Kama waivyo mnunua mbowe .
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‰
 
Sheikh, miaka 80+ ni umri wa kupumzika tu nyumbani. Yaani ukifikisha umri huo huna tofauti na gari la mkaa.
Born 1938 sasa yuko 87 bado anataka ligi na Heche , nasikia mapafu yamejaa maji yuko Apollo India anapigania uhai wake.
 
Yupo ilala anachagua laba za kuvalia kaunda. Siku akiibuka utaskia HUYU KIJANA KUTOKA TAARIME ANAITWA HECHE .. HAMNA KITU KABISA. Halafu anachapa usingizi wa pono
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi ile kauli ya...yupo ofisini anachapa kazi! haijatolewa? Napita tu.
 
Haaa unamzungumzia marehemu Steven wassira .....huyo yupo anamalizia kuchonga jeneza lake na kulipaka rangi za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…