Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Mimi uwa natumia mbinu hyo nikiwa nataka kumpiga chini dem, kifupi apo mkuu umeshaachwa
Hahahah! Nimeachwa kwenye mataaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Nimeachwa Solemba[emoji23]

Sawa wacha niucheze mziki wake.
 
Mbona umeshaamka usingizini tayari mkuu. Yaani namba huzisomi herufi huzisimi hata alama za ishara nazo huzielewi??
Hahhah. Utafikiri nimekuwaje asee?!?!? Hadi nimejishangaa!

Nimekaa asubuhi nikatafakari, Nikaona mmh! Kuna namna hapa, Haiwezekani ikawa hivi.
 
Tayari Hapo huna chako, makinikia imepelekwa smelta nyingine
 
Bosi, ushauri mzuri sana. Nimeupokea. But nataka kumchana live kidogo.
Afu ndo niache kumtafuta kwa njia yoyote.

Unaonaje hii?
Hapana usimchane live atapata cha kuongea
Mpigie Kimya ktk hilo
Kama ataamuwa kutoka na wewe jukumu lako ni kumbadilishia maeneo ya kukutania
 
Mzee baba goma la hivyo ndiyo zuri unamega na hakuna kufuatiliana
Hahahahhha. Mzee baba, goma la hivi linafaa mtu uwe na Mchepuko pembeni, yaan lenyewe unalimega alafu mtoto mwingine pembeni undo unaamishia majeshi ya true love na kujaliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…