Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Mimi uwa natumia mbinu hyo nikiwa nataka kumpiga chini dem, kifupi apo mkuu umeshaachwa
Hahahah! Nimeachwa kwenye mataaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Nimeachwa Solemba[emoji23]

Sawa wacha niucheze mziki wake.
 
Mbona umeshaamka usingizini tayari mkuu. Yaani namba huzisomi herufi huzisimi hata alama za ishara nazo huzielewi??
Hahhah. Utafikiri nimekuwaje asee?!?!? Hadi nimejishangaa!

Nimekaa asubuhi nikatafakari, Nikaona mmh! Kuna namna hapa, Haiwezekani ikawa hivi.
 
Mzee baba goma la hivyo ndiyo zuri unamega na hakuna kufuatiliana
Hahahahhha. Mzee baba, goma la hivi linafaa mtu uwe na Mchepuko pembeni, yaan lenyewe unalimega alafu mtoto mwingine pembeni undo unaamishia majeshi ya true love na kujaliana.
 
Back
Top Bottom