Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

[emoji13] [emoji13] wemsamehe tu
Wenzio huwa tukizinguliwa hatusemi, maana roho ikiuma sana huwa tunajikuta tunarudi kulamba matapishi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji134] .Mkuu vipi? Mbons unataka kuvuruga maamuzi yaliyokwisha tayari moyoni!?[emoji134]
 
Mkuu nilimaanisha hv.... Kama ww kweli sio mwanafunz ungekwisha utendea haki ushauri wa wadau hapa ndan... Fanya hivi mwache aende..
Sawa.Nimemwacha aende zake.
Sijazaliwa naye. Na yeye sio Mamangu.
 
KUNA AINA MBILI ZA WANAWAKE (Kulingana na mwitikio wao baada ya kujiridhisha anapendwa sana na niyeye tu aliyemteka kumoyo mwanaume fulani)

BAADA YA KUJUA UNAMPENDA SANA NA HUNA UJANJA.
1. Atakayekujali sana na kukufanya mtu wa karibu sana(best friend)
2. Atakayeridhika na kukufanya zoba na usishangae hata ukilazwa wiki nzima usimuone wala usisikie simu yake ya pole Ingawa anakuwa anakupenda sana na ukimwacha anaumia sana.

ndio maana utafiti bado unaendelea juu ya wanawake kujua ni viumbe wa aina gani
 
Kula buyu mzee.. Atajishtukia mwenyewe. Hapo ni kama anatapatapa vile mfa maji anafanya.
 
Msingi mkubwa wa mahusiano ni mawasiliano tena kwa pande zote mbili..kukishakuwa na kutegeana bila sababu za msingi jua kuna tatizo sehemu..... Yani mtu anaku-ignore bila sababu ya maana?? Nao ni unyanyasaji kwa kweli[emoji18]
 
k


kama sala yako ndio kuomba kikombe hicho kikuepuke, na iwe hivyo ijapokuwa wengine tunaomba hivyo na bado hakituepuki!
 
Piga kimya mkuu atakutafuta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…