Pua kama ngumi......Twende twende mwembamba ka nyungunyungu.
Matako jujuu kama breki ya honda.....Una nywele ngumu kama mkutano wa nzi
Pua kubwa kama mrango wa papuchiMatako jujuu kama breki ya honda.....
.....meno kama mahindi.....Pua kubwa kama mrango wa papuchi
Una sura imekomaa kama goti la mbuzi.....meno kama mahindi.....
Twende twende shavu kama andaziTwende twende twende domo kubwa chapati hukunji
Twende twende para kama ngozi tak*Para kama jiwe la kiama
Twende twende pengo kama uchochoro.....meno kama mahindi.....
Sikio kama NipashePua kama ngumi......
Twende twende vidole kama mbirimbiUna nywele ngumu kama mkutano wa nzi
Matako madogo kama kona ya godoroTwende twende vidole kama mbirimbi
Twende twende kiuno kama dondolaMatako madogo kama kona ya godoro
Bwahahahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Twende twende ndiyo maana kwenu mlo wa usiku mnafunga pipi juu inaning'inia kila mtu akipita ana lamba anaenda kulala,sasa we ukanogewa mpaka ukaitafuna yote baba yako alikuchapa siku hiyo huji kusahau twende twende...