Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

mlio koment humu mna sura kama miguu ya bata kasoro mimi tu...

halafu sitaki mchezo mchezo nimeisia hapa mimi
 
Twende twende ndiyo maana kwenu mlo wa usiku mnafunga pipi juu inaning'inia kila mtu akipita ana lamba anaenda kulala,sasa we ukanogewa mpaka ukaitafuna yote baba yako alikuchapa siku hiyo huji kusahau twende twende...
Bwahahahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom