Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Hahahaha ungeanzisha tu mkuu kwani shi ngap [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Forever living ndio mpango mzima.Acheni kuongea mambo msiyoyajua.Acheni wanaojua tufanye.Tatizo wabongo majungu na tuna Black Mind asilimia kubwa.
 
Hahahaha ungeanzisha tu mkuu kwani shi ngap [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu waliniambia 160,000 alafu wanipe bidhaa nianze kutembeza wakajalibu kunishawishi uongo WA kiwango cha lami alafu wanavyouzi sasa wanaona mtu kachukia wao wanaendelea kuongea porojo zao eti magar mala nyumba yaani ilimladi visa tu
 
Yani wanaboaga kinomaa ..eti mfano unakuta mjinga m1 anakwambia mimi nimeacha kazi cjui bank mara nilikuwa engineer wa kampuni flan lakin nmeacha nkajiunga na hii biasharaa. ..eti ndani ya muda mfup tu utakuwa ni bilionea ...mara utaenda sjui marekani, sjui China mara unaskia singapoo, kuna miwatu naifahamu kabisa mpk leo mwaka wa nne toka wajiunge wapogo tuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] amna cha marekan wala nin ..
 
Acheni unafiki na majungu nyie,sema hamna pesa za kujiunga .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado tu watu hawakomi kujiunga na hizi pyramid scams?
Deci
Amway
ICN
Forever Living
Organo Coffee
Kryptocoin
GLN sijui GLC
 
una uhakika?
 
Me walinitoa Kibaha mpka mwenge....
 
mm mkaka aliniita makumbusho kila nikimuuliza ni kaz gan hesemi..mana nlimwambia nimemaliza chuo si mda npo home tuu akasema kama uko serious njoo ofisini makumbusho basi kufika nkakutna na ile wanaitaje sijui ambayo unachangia laki tano alafu wanakupa limzigo hilooo..sasa nkajiuliza nauzaje na napata wapi hiyo laki tano wanayotamka kirahisi utadhani mia saba hamsini..yaan kila nliemuona pale nkimuuliza alikua hajui nn kinaendelea.....
nilikaa wee mbka njaa ikauma na msosi haukuepo. Naikumbuka bidhaa yao moja inaitwa c24/7 nyingine ni my choco.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aim Global.
Pale ukienda watakupa story tu hata kutwa nzima ila kula kwenu.
 
Nimeona mahali kuwa dawa hizo ambazo ni viinilishe zinasaidia matatizo ya tumbo kama vidonda vya tumbo nakadhalika,mliowahi zitumia mkapona naombeni ushuhuda wenu maana Mimi ni mhanga wa tatizo hilo
 
Nimeona mahali kuwa dawa hizo ambazo ni viinilishe zinasaidia matatizo ya tumbo kama vidonda vya tumbo nakadhalika,mliowahi zitumia mkapona naombeni ushuhuda wenu maana Mimi ni mhanga wa tatizo hilo
Bidhaa zao hamna kitu kabisa yani zinasaidia mwezi mmoja tu alafu tatizo linarudi upya kabisa achana nazo hizo utapoteza pesa yako bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…