Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Huwa nafananisha hii biashara na mapepo, kuna makundi mawili.

waliokuwa possessed na sie ambao hata useme nini hatuwezi kukuelewa.

Ili ufanikiwe inabidi ujichetue kidogo..
 
Tangia mwaka 2012 Nasikia taarifa ya hili JEEP la Blandina!!! KWANI SIKU HAZIENDI??? ACHENI UONGO NYIE WATU. WENGINE WANAPIGA PICHA WAMESEMIMA PEMBENI MWA MAGARI YA WATU, WANADAI NI YA KWAO WAMEPATA FOREVER. SHAME ON YOU PEOPLE
 
Haha najua ungeitiwa athumani kipara ungetokwa na udenda......
 
Ukinunua chupi mpya kwa hela za forever unashauriwa utangaze ili uvutie watu!
Mafanikio ya hizi network marketing (au multi level marketing) ni uwepo wa vibarua (wauzaji) wengi chini yako! Hao vibarua hawatoki hadi wapate vibarua wengine.......nk

Wananyooshwa hadi wanapoteza sense ya ubinadamu! Yeye akiona hata ndugu zake wa karibu anaona wateja tu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kosa la kwanza ni kuwasikiliza
Mi mtu akishakuja na maneno mengi hata simpi muda wa kumsikiliza huyo naachana nae hapo hapo
 
Sasa na humu wamekuja ni kama mmewaita waje sasa blandina mara milioni tisini khaaaa ivi kila aliyefanikiwa alipitia forever?kuna wengine washanidanganya mara lowassa, mengi wote ni wametokea forever duuu nilicheka nikamwonea huruma nikasema nenda tu kwa amani mi siwezi jikonekiti huko
 
Haahahaah eti wateja tu
 
Sikuhizi hata adv zao hawasemi kama meeting za forever,utaona tu sijui women empowerment blah blah blah kibaoo,afu wanamalizia kiingilio 10k au mara book your seat kwa email,seats are limited
Basi unajikoki unavaa official na CV + Certificates unabeba,unajua yess huko moto tu unaweza kupata kazi
Ukifika sasaaa unakuta walewaleeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hamna jeep Cherokee ya milioni 90..acha uongo
 
Tangia mwaka 2012 Nasikia taarifa ya hili JEEP la Blandina!!! KWANI SIKU HAZIENDI??? ACHENI UONGO NYIE WATU. WENGINE WANAPIGA PICHA WAMESEMIMA PEMBENI MWA MAGARI YA WATU, WANADAI NI YA KWAO WAMEPATA FOREVER. SHAME ON YOU PEOPLE



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa usawa huu wa JPM zile Dawa za meno za forever watauza buku buku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…