Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Evelyn salt pole dadayangu.
Huo mchezo unaitwa Piramidi.
Mwenye faida alie anzisha.
Kwa mfano muanzilishi ananunua bidhaa za Million 2 Halafu anamuuzia mmoja Na huyu naye anamuuzia mwingine nakila mmoja anapata 10% yake.
Uongo wao kukuambia Mafanikio Yao.Tamaa Ni chanzo chake.
Huo mchezo Ni balaaaaa
 
Ni watu wa hovyo sana hawa, nawachukia kama nichukuavyo kitimoto
 
Ahsante, mie biashara ya wala sina shida nayo tatizo huo uongo tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa usawa huu wa JPM zile Dawa za meno za forever watauza buku buku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hawaangalii na aina ya wateja wao wanatumia nguvu tu, sasa mie nlivojichokea uje kuniuzia dawa ya meno elf 20. Wakati hiyo ni bajeti yangu ya whitedent 20 ha ha ha wauza forever wakasome sasa
 
Bishara ya uongo uongo tu, nguvu nyiiiingi na uongo mwingi, maneno kibaoo hadi uje kuambiwa ni forever hapo Muuzaji kishakuambia historia ya maisha yake tangu kuzaliwa mfyuuu nawachukia
 
Hata hawaangalii na aina ya wateja wao wanatumia nguvu tu, sasa mie nlivojichokea uje kuniuzia dawa ya meno elf 20. Wakati hiyo ni bajeti yangu ya whitedent 20 ha ha ha wauza forever wakasome sasa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hiyo ndo biashara lazma uangalie na aina ya wateja, ndo maana kuna tecno ya elf 20 na tecno ya laki 5..... Wote tunafaidika kulingana na kipato
 
makanisa ya kiroho yameingiaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…