Wauzaji wa matofali badilikeni

Umasikini wako....tu
Tofali zetu hazichachi
Endelea kupanga....kujenga wewe bado
Au ndo unajifunza...
Oook Samahani kumbe una migholofa

Karibu tena...
Tofali za kuchoma zipo tshs 30 moja
Hapa Msata
30 au miatatu?
 
Tatizo mmezoea kugalaliza kila kitu yaani unakuta mtu anaomba punguzo hadi kero akikataliwa anakuja huku kulia lia.
Ndomana wengi wenu mnaishia kuingizwa chaka.....njoo nikuuzie tofali kwa bei hiyo unayotaka ,
Ila mfuko mmoja wa cement unatoa tofali 75.
 
Miaka ya 1900,Cement ilikuwa sh 5000@mfuko,mchanga ilikuwa 4000 kwa lory ton 4. tofali liliuzwa 800@.Leo ni 2020 Cement ni 14000,Mchanga ni 12000 kwa lory hilohilo ,Tofali 1100 @.Vibrator machine kipindi hicho ilikuwa 1.2M.Mixer ilikuwa 2.5.Leo Vibrator 2.3,Mixer 4.5 M.Hebu changanua,hapo sijakupigia Vibao vya kufyatulia,Maji,Umeme na Ufundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…