Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

Rudi kwenye historia ya nchi. Kila kiongozi alipambana kujenge nchi kwa wakati na mazingira yaliyokuwepo. Ujenzi wa nchi ni mwendelezo. Kwa mfano, Kikwete asinge Jenga reli wakati hakuna shule, akajenga shule za sekondari kila kata.
 
Ulishawahi ona raisi akibeba tofali kujenga miradi? Ni kutokana na kutopenda sifa kwa watu wa pwani ndo mana wakifanya hawatangazi
Ukifanya kitu hauhitaji kutangaza, kitajitangaza chenyewe. Kazi iliyopigwa na Wabara ipo wazi kila mmoja anaiona.
 
Ukifanya kitu hauhitaji kutangaza, kitajitangaza chenyewe. Kazi iliyopigwa na Wabara ipo wazi kila mmoja anaiona.
Kazi ipi ya kujenga viwanja vya ndege vijijini kwenu?

Wewe mtu alifungia TV, magazeti, radio nk akawa anatembea na TV zote kumtangaza kisha utwambie kazi zake zinajitangaza?

Akili zipo sawasawa kweli wewe
 
Kazi ipi ya kujenga viwanja vya ndege vijijini kwenu?
Wewe mtu alifungia TV, magazeti, radio nk akawa anatembea na TV zote kumtangaza kisha utwambie kazi zake zinajitangaza ????
Akili zipo sawasawa kweli wewe
Alifungia tv then akawa anatembea na tv zote zikimtangaza?

Alifungia zipi na wakati huohuo zikimtangaza zote?

Nini hiki umeandika Mkuu? Uongo sio mzuri
 
Hapa ndipo mnapo onekana washamba na wapuuzi. Kila raisi afanye kama yule nyapala wenu tungekuwa wapi leo? Unajua utofauti wa maendeleo kati ya sehemu moja na nyingine ndo huwa unasababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe
Mbona tumesubiri sana hivi vita Mkuu na tunavitaka ili angalau tuheshimiane' vimefikia wapi huko?
 
Alifungia tv then akawa anatembea na tv zote zikimtangaza?

Alifungia zipi na wakati huohuo zikimtangaza zote?

Nini hiki umeandika Mkuu? Uongo sio mzuri
Nitajie mkutano wowote unaokumbuka ambao jpm alishawahi kufanya ambao haukuwa live kwenye TV zote.
Wewe nchi ilifika sehemu raisi anaenda kutoa matamko ya serikali mazabahuni???
Ilikuwa hatari boss
 
Hovyo kabisa!

Tunaviongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao...
asiyekuwepo na lake halipo, fanya kazi ndugu hayo mengine yanapita tu
 
Nitajie mkutano wowote unaokumbuka ambao jpm alishawahi kufanya ambao haukuwa live kwenye TV zote.
Wewe nchi ilifika sehemu raisi anaenda kutoa matamko ya serikali mazabahuni???
Ilikuwa hatari boss
Wivu unauwa! Ulitaka afanye kama wafanyavyo wengine ili iwe nini mkuu
 
Nitajie mkutano wowote unaokumbuka ambao jpm alishawahi kufanya ambao haukuwa live kwenye TV zote.
Wewe nchi ilifika sehemu raisi anaenda kutoa matamko ya serikali mazabahuni???
Ilikuwa hatari boss
Na siku zote za utawala wake alikuwa anawananga sana watangulizi wake kuwa hawakufanya lolote
 
Back
Top Bottom