Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

Rudi kwenye historia ya nchi. Kila kiongozi alipambana kujenge nchi kwa wakati na mazingira yaliyokuwepo. Ujenzi wa nchi ni mwendelezo. Kwa mfano, Kikwete asinge Jenga reli wakati hakuna shule, akajenga shule za sekondari kila kata.
Bila Lowassa hizo shule zisingejengwa, Kikwete hana akili hizo!!
 
Hukubali wewe na wajinga wenzio. Mama samia anafanya miradi mingi tu sema haitangazwi! Yale madarasa ya UVICO ulishawahi kusikia yakitangazwa na TBC???
ACHENI CHUKI ZA KISHETANI
Do tunajivunia madarass tena kwa pesa za mkopo mbona kituko
 
REKODI YA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.

Kufufua reli ya kutoka Dar es salaam-Tanga-Kilimanjaro-Arusha

Upanuzi wa Bandari ya Dar, Tanga, Mtwara

Ujenzi wa gati Mafia

Ukarabati wa vivuko, Mv Pangani, New Mv Butiama hapa kazi Tu, nakadhalika

Mradi wa rada airport ya Dar, Mwanza, Songwe, KIA ....

Elimu bila ada

Vituo vya afya vya kila halmashauri

Hospitali za wilaya, mikoa, na kanda: Serengeti, Hospitali ya kumbuku ya Mwalimu Nyerere, Uhuru Dodoma, nakadhalika

Barabara za mitaa Dar na katika majiji mengine, na miji mingine

Ujenzi wa kota za gorofa Magomeni

Ujenzi wa masoko makubwa: Soko la Job Ndugai Dodoma, Chief Kingalu Morogoro, soko la Kisutu, soko la Magomeni, soko la Mbagala, na ya mikoa na wilaya nyingine

Ujenzi wa standi za kisasa: Mbezi Lous, Dodoma, Morogoro, Korogwe, nakadhalika

Ujenzi wa majengo ya makao makuu ya Halmashauri: Kigamboni, Mkalama, nakadhalika

Daraja la mto Kilombero, na mengine mengi

Madaraja ya waenda kwa miguu: Dar na Mwanza

Ukarabati shule kongwe na vyuo: Pugu, Galanos, Tunduru, Msalato Girls, nakadhalika
 
REKODI YA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.

Kfufua reli ya kutoka Dar es salaam-Tanga-Kilimanjaro-Arusha

Upanuzi wa Bandari ya Dar, Tanga, Mtwara

Ujenzi wa gati Mafia

Ukarabati wa vivuko, Mv Pangani, New Mv Butiama hapa kazi Tu, nakadhalika

Mradi wa rada airport ya Dar, Mwanza, Songwe, KIA ....

Elimu bila ada

Vituo vya afya vya kila halmashauri

Hospitali za wilaya, mikoa, na kanda: Serengeti, Hospitali ya kumbuku ya Mwalimu Nyerere, Uhuru Dodoma, nakadhalika

Barabara za mitaa Dar na katika majiji mengine, na miji mingine

Ujenzi wa kota za gorofa Magomeni

Ujenzi wa masoko makubwa: Soko la Job Ndugai Dodoma, Chief Kingalu Morogoro, soko la Kisutu, soko la Magomeni, soko la Mbagala, na ya mikoa na wilaya nyingine

Ujenzi wa standi za kisasa: Mbezi Lous, Dodoma, Morogoro, Korogwe, nakadhalika

Ujenzi wa majengo ya makao makuu ya Halmashauri: Kigamboni, Mkalama, nakadhalika

Daraja la mto Kilombero, na mengine mengi

Madaraja ya waenda kwa miguu: Dar na Mwanza

Ukarabati shule kongwe na vyuo: Pugu, Galanos, Tunduru, Msalato Girls, nakadhalika
 
-Kwenye shida kuu tuta
#Wakati Trump na Marais wengine wakipambana na korona kwa nguvu za binadamu, Dr.John Pombe Magufuli alikua akipambana na korona kwa sala, maombi na kufunga,

#Wakati Marais wengine wa afrika wakichekacheka Na Mabepari, Mabeberu na wasiopenda Maendeleo, Dr.John Pombe Magufuli alikuwa akiwachana makavu dhidi ya dhuluma na uzandiki wao kwa nchi masikini hasa Tanzania,

#Wakati Dunia ikipambana na adui maradhi, Dr. John Pombe Magufuli alikuwa akipambana na adui umasikini wa Watanzania,

#Dr. John Pombe Magufuli ndiye aliyeuweza Mfupa uliowashinda wengi Tanzania na nje ya Tanzania,mfupa Wa "SERIKALI HAINA FEDHA, SISI NI MASIKINI",

#Dr. John Pombe Magufuli alipasha kwa pushapu za kuonesha uimara wake kiafya,anawaza kurejea kuendeleza miradi mikubwa ya kiuchumi nchini,

#Wakati viongozi wa vyama vya siasa afrika vikiendesha chaguzi kwa fedha za mikopo na misaada,Rais Dr. John Pombe Magufuli alikimbia aibu hii ya kuwa ombaomba kwa Mabeberu,kwa kuweza kujikimu katika uchaguzi Mkuu,2020,

#Wakati Nchi nyingine za afrika na dunia zikifunga mipaka na kuzuia raia wake wasitoke nje kwa sababu ya ugonjwa wa korona, Rais Dr. John Pombe Magufuli aliwahamasisha Raia wake kuendelea kuchapa kazi, Ili kujiletea kipato na kukuza pato la nchi,

#Wakati Marais wengine wa afrika na kwingineko duniani, wakiogopa kuirejesha mikataba tata ya rasilimali za nchi mezani kuijadili ili kupata haki ya raia iliyoporwa,Rais Dr. John Pombe Magufuli aliweza kukomaa na kampuni za kigeni za madini katika kutafuta usawa wa unufaikaji wa raia katika rasilimali zao nchini,
*Nchi ikalipwa Mabilioni na kurejesha heshima ya RASILIMALI ZA TANZANIA dhidi ya mataifa ya kibepari na kibeberu,
 
Do tunajivunia madarass tena kwa pesa za mkopo mbona kituko
Kwani na ile reli ya SGR si inajengwa kwa pesa za mikopo tu? Au na wewe upo kwenye wale wajinga wa kihalaiki wanaoamini kwamba tunajenga kwa pesa za ndani???
 
Back
Top Bottom