Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

Na mkutano wa nani haukuwa live
Naogopa nisije nikawa na yule member aliyesema nyerere kafanya nn TANZANIA Ukimlinganisha na JPM?
Itoshe kusema miradi alojenga huyo nyapara ilipigiwa chepuo sna mana hapakuwa na vyombo vya habari vya kuhoji? Unalikumbuka gazeti la rai? Unajua lilivyokuwa linamchimba mkapa kwanzia hotuba zake mpaka miradi kama ile ya RADA?
 
Miradi hiyo ipo haipo?
 
Wivu unauwa! Ulitaka afanye kama wafanyavyo wengine ili iwe nini mkuu
Nimuonee wivu mtu aliyevunja haki za watu??
Aliwaita watengeneza ndege ikulu bila hata kufuata sheria za manunuzi na akaagiza ndege zimfaazo yeye huku mazuzu yakishangilia kama haya want?
Umuonee mtu mtu aliyevunja katiba aliyoapa kuilinda mwenyewe?
 
Ndege kaondoka nazo kwani chief, amekuachieni fanyeni mtakalo
 
Hapa ndipo mnapo onekana washamba na wapuuzi. Kila raisi afanye kama yule nyapala wenu tungekuwa wapi leo? Unajua utofauti wa maendeleo kati ya sehemu moja na nyingine ndo huwa unasababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe
Ni eneo gani wabara hawajafanya maendeleo?
 
Na siku zote za utawala wake alikuwa anawananga sana watangulizi wake kuwa hawakufanya lolote
Alikuwa mshamba tu. Hivi anajua kazi iliyofanyika kule Malagasy? Anajua kazi iliyofanyika pale rufiji? Anajua watu walikuwa wanakaa wiki dar kwenda mwanza?
Anashabikiwa na watu wasiomfahamu kabla hajawa raisi
 
Acha nongwa wewe. Hakuna kiongozi wa nchi hii ambaye hajajenga miradi kinachokuzubaisha wewe ni milage tu.
Wakati mwingine muwe mnafikiria kabla ya kuandika mnachosha sijui ni ushamba au nn?
BM
MWINYI JK
JPM
Wote kila mtu kafanya
Mkuu umeandika vizuri mno nchi imekuepo na mengi yamefanywa na walioiongoza anzia enzi mkoloni ,achana na wahuni, wao sifa sifa tu
 
Mkuu umeandika vizuri mno nchi imekuepo na mengi yamefanywa na walioiongoza anzia enzi mkoloni ,achana na wahuni, wao sifa sifa tu
Ati wanakwambia alifanya kuliko yyte. ? Yaani ntu aongoze miaka 5 umlinganishe na aliyeongoza miaka 23? Ati nyerere kafanya nn?
 
Nn maana ya sheria? Kwann ipo?
Wajinga wengi wamejifichia kwenye sheria, na sheria zetu za kibongo pasua kichwa

mfano,

Sheria imesema, ukitia mimba mtoto wa shule, miaka 30 jela, fikilia watoto laki moja wa kike wametiwa mimba, maana yake vijana wa kiume laki moja jela miaka 30 zidisha mara miaka 10, mnazo jera za kuwatosha hao

Watoto laki moja wataishi na kulelewa na mzazi mmoja kwa miaka 30, wakati huohuo mzazi huyo hana akili yoyote ya kumtunza mtoto wake, unadhani nini faida ya sheria hiyo unapolinganisha na hasara

Kwa nini wote wasiende jela ama waoane ili wamtunze mtoto huku wakienda shule? Hii ni sheria kandamizi kwa kijana wa kiume
 
Watoto wadogo hawajui nchi hii imetoka wapi.

Walibalehe kipindi cha Magufuli wanandhani nchi hii ilianza na Magufuli na itaisha na Magufuli

Watateseka sana
 
Rudi kwenye historia ya nchi. Kila kiongozi alipambana kujenge nchi kwa wakati na mazingira yaliyokuwepo. Ujenzi wa nchi ni mwendelezo. Kwa mfano, Kikwete asinge Jenga reli wakati hakuna shule, akajenga shule za sekondari kila kata.
Kinachopingwa kujipenyeza na kujipachika kwenye kazi za mwezao,kama unabisha,Mzee Mwinyi alisema kilichowashinda wao miaka 30 kijana Magufuli kafanya ndani ya miaka mitano

Mmejawa roho za kishenzi ndio maana mkamuua
 
Hahaa! Pigeni mnada
Kwq taarifa yako tu ni kwamba hizi ndege zilikuwepo . Baada ya nyerere watu waliachana nazo kwa sababu ni biashara kichaa. Unaweza kutuambia hapa tangu hizo ndege zinunuliwe taifa limepata faida kiasi gani???
 
Kinachopingwa kujipenyeza na kujipachika kwenye kazi za mwezao,kama unabisha,Mzee Mwinyi alisema kilichowashinda wao miaka 30 kijana Magufuli kafanya ndani ya miaka mitano

Mmejawa roho za kishenzi ndio maana mkamuua
Mwinyi alisema akiwa anataka nn?
 
Kazi ipi ya kujenga viwanja vya ndege vijijini kwenu?
Wewe mtu alifungia TV, magazeti, radio nk akawa anatembea na TV zote kumtangaza kisha utwambie kazi zake zinajitangaza...
Orodhesha hapa vyombo vya habari vivyofungiwa kwa kutenda haki

Media nyingi zilitumika na mabeberu kufanya upotoshaji,

Sheria taratibu na kanuni zikikiukwa lazima hatua kali zichukuliwe

Julian Assange anaozea jela huko aliko baada ya kushika makalio ya serikali ya America,ujinga hautakiwi popote pale hapa duniani
 
Alifungia tv then akawa anatembea na tv zote zikimtangaza?

Alifungia zipi na wakati huohuo zikimtangaza zote?

Nini hiki umeandika Mkuu? Uongo sio mzuri
Tv zinazohamisha mapenzi ya jinsia moja,hata ningukuwa mimi nazilima tu
 
Wacha upumbavu orodhesha hapa vyombo vya habari vivyofungiwa kwa kutenda haki

Media nyingi zilitumika na mabeberu kufanya upotoshaji,

Sheria taratibu na kanuni zikikiukwa lazima hatua kali zichukuliwe

Julian Assange anaozea jela huko aliko baada ya kushika makalio ya serikali ya America,ujinga hautakiwi popote pale hapa duniani
Mabeberu wapotoshe nn kuhusu Tanzania? Unajua maana ya ubeberu lakini wewe?
 
Back
Top Bottom