Ulishawahi ona raisi akibeba tofali kujenga miradi? Ni kutokana na kutopenda sifa kwa watu wa pwani ndo mana wakifanya hawatangaziWapwani wavivu sana, kazi kupiga soga tu halafu wanapenda sifa!
Ukifanya kitu hauhitaji kutangaza, kitajitangaza chenyewe. Kazi iliyopigwa na Wabara ipo wazi kila mmoja anaiona.Ulishawahi ona raisi akibeba tofali kujenga miradi? Ni kutokana na kutopenda sifa kwa watu wa pwani ndo mana wakifanya hawatangazi
Kazi ipi ya kujenga viwanja vya ndege vijijini kwenu?Ukifanya kitu hauhitaji kutangaza, kitajitangaza chenyewe. Kazi iliyopigwa na Wabara ipo wazi kila mmoja anaiona.
Acha nongwa wewe. Hakuna kiongozi wa nchi hii ambaye hajajenga miradi kinachokuzubaisha wewe ni milage tu.
Wakati mwingine muwe mnafikiria kabla ya kuandika mnachosha sijui ni ushamba au nn?
BM
MWINYI JK
JPM
Wote kila mtu kafanya
Hicho kijiji kipo nje ya Tanzania?Kazi ipi ya kujenga viwanja vya ndege vijijini kwenu?
Wewe mtu alifungia TV, magazeti, radio nk akawa anatembea na TV zote kumtangaza kisha utwambie kazi zake zinajitangaza ????
Akili zipo sawasawa kweli wewe
Alifungia tv then akawa anatembea na tv zote zikimtangaza?Kazi ipi ya kujenga viwanja vya ndege vijijini kwenu?
Wewe mtu alifungia TV, magazeti, radio nk akawa anatembea na TV zote kumtangaza kisha utwambie kazi zake zinajitangaza ????
Akili zipo sawasawa kweli wewe
Hapa ndipo mnapo onekana washamba na wapuuzi. Kila raisi afanye kama yule nyapala wenu tungekuwa wapi leo? Unajua utofauti wa maendeleo kati ya sehemu moja na nyingine ndo huwa unasababisha vita vya wenyewe kwa wenyeweHicho kijiji kipo nje ya Tanzania?
Mbona tumesubiri sana hivi vita Mkuu na tunavitaka ili angalau tuheshimiane' vimefikia wapi huko?Hapa ndipo mnapo onekana washamba na wapuuzi. Kila raisi afanye kama yule nyapala wenu tungekuwa wapi leo? Unajua utofauti wa maendeleo kati ya sehemu moja na nyingine ndo huwa unasababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe
Nitajie mkutano wowote unaokumbuka ambao jpm alishawahi kufanya ambao haukuwa live kwenye TV zote.Alifungia tv then akawa anatembea na tv zote zikimtangaza?
Alifungia zipi na wakati huohuo zikimtangaza zote?
Nini hiki umeandika Mkuu? Uongo sio mzuri
asiyekuwepo na lake halipo, fanya kazi ndugu hayo mengine yanapita tuHovyo kabisa!
Tunaviongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao...
Na mkutano wa nani haukuwa liveNitajie mkutno wa jpm ambao haukuwa live
Wivu unauwa! Ulitaka afanye kama wafanyavyo wengine ili iwe nini mkuuNitajie mkutano wowote unaokumbuka ambao jpm alishawahi kufanya ambao haukuwa live kwenye TV zote.
Wewe nchi ilifika sehemu raisi anaenda kutoa matamko ya serikali mazabahuni???
Ilikuwa hatari boss
Na siku zote za utawala wake alikuwa anawananga sana watangulizi wake kuwa hawakufanya loloteNitajie mkutano wowote unaokumbuka ambao jpm alishawahi kufanya ambao haukuwa live kwenye TV zote.
Wewe nchi ilifika sehemu raisi anaenda kutoa matamko ya serikali mazabahuni???
Ilikuwa hatari boss