Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Naogopa nisije nikawa na yule member aliyesema nyerere kafanya nn TANZANIA Ukimlinganisha na JPM?Na mkutano wa nani haukuwa live
Miradi hiyo ipo haipo?Naogopa nisije nikawa na yule member aliyesema nyerere kafanya nn TANZANIA Ukimlinganisha na JPM?
Itoshe kusema miradi alojenga huyo nyapara ilipigiwa chepuo sna mana hapakuwa na vyombo vya habari vya kuhoji? Unalikumbuka gazeti la rai? Unajua lilivyokuwa linamchimba mkapa kwanzia hotuba zake mpaka miradi kama ile ya RADA?
Nimuonee wivu mtu aliyevunja haki za watu??Wivu unauwa! Ulitaka afanye kama wafanyavyo wengine ili iwe nini mkuu
Njoo shamba mkuu tulime kilimo biasharaasiyekuwepo na lake halipo, fanya kazi ndugu hayo mengine yanapita tu
Nn maana ya sheria? Kwann ipo?Miradi hiyo ipo haipo?
Ndege kaondoka nazo kwani chief, amekuachieni fanyeni mtakaloNimuonee wivu mtu aliyevunja haki za watu??
Aliwaita watengeneza ndege ikulu bila hata kufuata sheria za manunuzi na akaagiza ndege zimfaazo yeye huku mazuzu yakishangilia kama haya want?
Umuonee mtu mtu aliyevunja katiba aliyoapa kuilinda mwenyewe?
Ni eneo gani wabara hawajafanya maendeleo?Hapa ndipo mnapo onekana washamba na wapuuzi. Kila raisi afanye kama yule nyapala wenu tungekuwa wapi leo? Unajua utofauti wa maendeleo kati ya sehemu moja na nyingine ndo huwa unasababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe
Alikuwa mshamba tu. Hivi anajua kazi iliyofanyika kule Malagasy? Anajua kazi iliyofanyika pale rufiji? Anajua watu walikuwa wanakaa wiki dar kwenda mwanza?Na siku zote za utawala wake alikuwa anawananga sana watangulizi wake kuwa hawakufanya lolote
Mkuu umeandika vizuri mno nchi imekuepo na mengi yamefanywa na walioiongoza anzia enzi mkoloni ,achana na wahuni, wao sifa sifa tuAcha nongwa wewe. Hakuna kiongozi wa nchi hii ambaye hajajenga miradi kinachokuzubaisha wewe ni milage tu.
Wakati mwingine muwe mnafikiria kabla ya kuandika mnachosha sijui ni ushamba au nn?
BM
MWINYI JK
JPM
Wote kila mtu kafanya
Tunafanya kama yeye alivyouza nyumba zetu za serikali kwa hawala zakeNdege kaondoka nazo kwani chief, amekuachieni fanyeni mtakalo
Ati wanakwambia alifanya kuliko yyte. ? Yaani ntu aongoze miaka 5 umlinganishe na aliyeongoza miaka 23? Ati nyerere kafanya nn?Mkuu umeandika vizuri mno nchi imekuepo na mengi yamefanywa na walioiongoza anzia enzi mkoloni ,achana na wahuni, wao sifa sifa tu
Wajinga wengi wamejifichia kwenye sheria, na sheria zetu za kibongo pasua kichwaNn maana ya sheria? Kwann ipo?
Hahaa! Pigeni mnadaTunafanya kama yeye alivyouza nyumba zetu za serikali kwa hawala zake
Kinachopingwa kujipenyeza na kujipachika kwenye kazi za mwezao,kama unabisha,Mzee Mwinyi alisema kilichowashinda wao miaka 30 kijana Magufuli kafanya ndani ya miaka mitanoRudi kwenye historia ya nchi. Kila kiongozi alipambana kujenge nchi kwa wakati na mazingira yaliyokuwepo. Ujenzi wa nchi ni mwendelezo. Kwa mfano, Kikwete asinge Jenga reli wakati hakuna shule, akajenga shule za sekondari kila kata.
Kwq taarifa yako tu ni kwamba hizi ndege zilikuwepo . Baada ya nyerere watu waliachana nazo kwa sababu ni biashara kichaa. Unaweza kutuambia hapa tangu hizo ndege zinunuliwe taifa limepata faida kiasi gani???Hahaa! Pigeni mnada
Mwinyi alisema akiwa anataka nn?Kinachopingwa kujipenyeza na kujipachika kwenye kazi za mwezao,kama unabisha,Mzee Mwinyi alisema kilichowashinda wao miaka 30 kijana Magufuli kafanya ndani ya miaka mitano
Mmejawa roho za kishenzi ndio maana mkamuua
Orodhesha hapa vyombo vya habari vivyofungiwa kwa kutenda hakiKazi ipi ya kujenga viwanja vya ndege vijijini kwenu?
Wewe mtu alifungia TV, magazeti, radio nk akawa anatembea na TV zote kumtangaza kisha utwambie kazi zake zinajitangaza...
Tv zinazohamisha mapenzi ya jinsia moja,hata ningukuwa mimi nazilima tuAlifungia tv then akawa anatembea na tv zote zikimtangaza?
Alifungia zipi na wakati huohuo zikimtangaza zote?
Nini hiki umeandika Mkuu? Uongo sio mzuri
Mabeberu wapotoshe nn kuhusu Tanzania? Unajua maana ya ubeberu lakini wewe?Wacha upumbavu orodhesha hapa vyombo vya habari vivyofungiwa kwa kutenda haki
Media nyingi zilitumika na mabeberu kufanya upotoshaji,
Sheria taratibu na kanuni zikikiukwa lazima hatua kali zichukuliwe
Julian Assange anaozea jela huko aliko baada ya kushika makalio ya serikali ya America,ujinga hautakiwi popote pale hapa duniani