Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

Nakazia ✍️✍️
Huwa nashangaa watu wanajitumbukiza vipi kwenye huu msala..
Bora pombe, maana wataalamu husema pombe KiASI ina manufaa kiafya mwilini.
Sigara haina faida hata moja. Ni madhara tupu🙄🤔
 
Mimi kwenye Marlboro na Carmel unitoi
 
sigara ina arosto mbaya sana
 
Zama zangu kipindi naonja sigara nilikuwa napenda sana kuvuta kabla ya Kupiga shoo , ilikuwa inanipa sana mzuka. Na pia katikati ya shoo baada ya Goli la kwanza
 
Dah!! Kiukweli sijui nisemeje mimi napenda kuvuta kwa kujificha nikiwa mwenyewe ,hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta na naonekana ni mtu wa heshima sana sana hiyo tisa kumi nilikuja kugundua kumbe familia yote tunavuta ila kwa kujificha mnoo mzee siku moja akanichana live kaniletee sports kumbe anapiga ila nimejua hayo nna miaka 25 kipindi hiyo broh nae wale wale kwa kujificha dogo nae wale wale ila style ni ile ile na mimi hata makundi ya wavutaji huwezi kunikuta kabisaa ni one man alone kwenye huu upumbavu
 
Ngoja nianzishe uzi wa wapiga nyeto naona JF siku hizi uhuru umezidi
 
Wavuta sigara ni wachafu sana wengi wao wameoza meno,wanatoa harufu mbaya mdomoni ukipishana nao nguo zao zinanuka Moshi wa fegi. Wsnskubali mtoto asinywe juice lakini wao wavute na wana mapungufu ya akili kwasababu ya tabia yao ya kula moshi na kutolea puani. Wananikera in Sana wanapovuta Moshi halafu wakautolea puani.
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…