Wawakilishi Kutoka Bara la Afrika

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
1 Algeria
2 Morocco

3 Mafarao
4 DR Congo
5 Tunisia
6...
7...
8...
9...
10...


(Algeria and Morocco) wawili hawa sina pressure nao hukoo Qatar, i know that watatuwakilisha vyema kabisa. kwangu mimi nawatambuwa kuwa ndiyo (Giants of Africa).

Kwako mdau mwenzangu, nani unampa nafasi ya kusonga mbele kutokana na uwezo wao?
 
Mmoja wao ndo alitakiwa kua kwenye kundi la Congo DRC, maana ilibaki kidogo tu sie ndo twende kwenye playoffs,...ilikua ni dhihaka na fedheha kubwa
Sema kweli tulikuwa na kundi rahisi ila Tanzania ni wabovu
 
Jana nimeangalia game ya Cameroon v/s ivory coast ambayo Cameroon alishinda Goli aisee game mbovu kichizi, utafikir ndondo huko Qatar waafrica tunaenda kutia aibu tu.
 
Wawakilishi wetu walikuwa ni Taifa Stars na wameshabanduliwa kwenye mashindano sasa hatuna tena wawakilishi, huo ndio ukweli, hayo mengine ni siasa tu za kinafiki ila haimzuii mtu kuchagua nchi ya kushangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…