Wawili tu wanatakiwa kuokolewa. Unadhani Mke atamuacha nani kati ya hawa?

Nani ataachwa aende zake?

  • A. Mume

    Votes: 8 88.9%
  • B. Mtoto

    Votes: 1 11.1%
  • C. Baba

    Votes: 0 0.0%
  • D. Mke ataona wote waende?

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    9
Kwa kile mwanamke mwenzao alichofanyiwa na Bwana Kweka juzi, sioni Wanaume tukiokolewa hata kama kutakuwa na nafasi 4

Saivi wanaweza wakachukua kisu na kukata kabisa hata hiyo kamba iliyomshikilia mume ili afe kabisa🤪
 
Duh..... Hapo nikuomba kwa jina la Yesu mnaokoka wooote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…