Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
- Thread starter
-
- #141
Joh yeye tu ni soko tosha hana haja hiyo, yeye atoe jiwe soko lake lipo!wanafanya kulingana na soko mkuu
hipo hop watu wa rufiji, kyela na ngara wapi na wapi? nani alishakuwa mtumwa au activist?
hiphop imekuwa customized, u want hardcore hiphop...sio Tanzania, waliofanya wote enzi hizo hapa nchini ni maskini wakutupwa
relax
Kweli mkuu ni vipya kabisa out of Hip hop[emoji23] [emoji23] Haters bhana, Walitegemea kusikia Joh anamjib Young K, Mwisho wa siku kapiga Wayaaa wapinzani wanababaika.
NB: Joh alishawahi sema hana kawaida ya kurudia mambo hizo 'Hipapu' unazo ziita Hardcore au zakuelimisha ameshazifanya zote sasahivi anafanya vitu vipya TU.
Huku hatunaga team mkuuKuna team zimejipanga madhubuti kumshusha Joe. But I tell you.. They'll fail..
Wewe ni KeyLAZA kama V-LAZA wengine...Oyaa hebu acha kunichosha, hamna mziki unaoitwa Hiphop ,
Hiphop ni utamaduni na una elements zake, nenda google jisomee acha kujitia aibu.
Tuko pamoja mkuu, flow flani hiviJoh hajawahi niangusha...nice song!
Duuuuuuuh[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyimbo mbaaaaya sana ila sijaisikiliza bado.
Ok sawa dada nimesha fanya kuedit!!!=tuithaminishe
Kwa niaba ya faiza foxy
Hasaaaaaamimeiwekea replay hapa... imesamama makini
Neno la kuanzia mwaka hiliWabongo tunapenda mafanikio ila hatuwapendi waliofanikiwa
una pointJoh yeye tu ni soko tosha hana haja hiyo, yeye atoe jiwe soko lake lipo!
Sio kutoa ngoma mbaya msingizie eti anaendana na soko!
Kiutani utan tu, sijawahi kuelewa muziki wa joh makini, so naona kawaida tu.'Mademu wanajifanya wamelewa kumbe wana-stress za kuolewa' hahaaa
Haka kanyimbo kata-hit tu kimzaha mzaha 'Tz Jay z'
Wewe ni KeyLAZA kama V-LAZA wengine...
Acha kujitia ujuaji..!
Ebu mwambie mkuu...yan sijui wana chuki gan na Arusha hao jamaa...Watu wa Arusha sijui wamekufanyaje wewe msukuma uchwara.
Naona bila kutaja Chuga taco huwa linakuwasha.
Mbona imeshawekwaIkwapi sasa weka hapa tuithaminishe!