Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

wanafanya kulingana na soko mkuu

hipo hop watu wa rufiji, kyela na ngara wapi na wapi? nani alishakuwa mtumwa au activist?

hiphop imekuwa customized, u want hardcore hiphop...sio Tanzania, waliofanya wote enzi hizo hapa nchini ni maskini wakutupwa

relax
Joh yeye tu ni soko tosha hana haja hiyo, yeye atoe jiwe soko lake lipo!
Sio kutoa ngoma mbaya msingizie eti anaendana na soko!
 
[emoji23] [emoji23] Haters bhana, Walitegemea kusikia Joh anamjib Young K, Mwisho wa siku kapiga Wayaaa wapinzani wanababaika.

NB: Joh alishawahi sema hana kawaida ya kurudia mambo hizo 'Hipapu' unazo ziita Hardcore au zakuelimisha ameshazifanya zote sasahivi anafanya vitu vipya TU.
Kweli mkuu ni vipya kabisa out of Hip hop
 
Mbona ngoma kali sana tu..
FYI, siku hizi hakuna kufanya rap tu for fun.
It's a business. Joh alishajipambanua kwamba yeye ni wa Good Music, so he does whatever kinda music he finds to be good. So, yeye si wa kufa na tai shingoni ili astick kwenye boom kubah.
Hii ngoma itahit tu ila sio moja ya GOAT zake.
 
Hata kidunia pia, hii ndiyo generation 'laini' zaidi ya Rap. Angalia wanaotop charts kwenye mainstream ya hao tunaowaiga. Kina Drake, Tory Lanez, Jermaine Cole, Rae Sremmurd na mbaya zaidi mumble rappers kama kina Vert. Wote ni soft tu. Sitegemei rappers wa dunia ya tatubwabaki the same.Everything is evolutionary.
 
True hii ngoma hata mm sijaikubali ila kule kaskazni kwao itakubalika Sana cos ameimba Aina na maneno ya kwako
 
Back
Top Bottom