Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Amebarikiwa aibarikiaye Israel na amelaaniwa ailaaniaye Israel kesi ya sungura na fisi unamuachia fisi aizungumzie mwenyew imekaaje hapoHiyo sio kuhusu imani , anahoji mitazamo ya wayahudi kuhusu palestina ,kwenye imani kuna majamaa yana amini hao ni wateule
Aliyekuambia kuwa kuna binadamu mwenyewe haki zaidi ya mwingine Nani? Kwani waarabu waliyoyafanya Oct 07,2023 wao walikuwa na haki zaidi kuua wayahudi? Kama wewe unaona kuuwawa Wayahudi ni sawa na linapokuja suala la Israel kujibu mapigo wewe unaanza ku Play-victims huo utakuwa ujinga na Upumbavu wako tuHakuna Binaadamu mwenye haki zaidi ya kuishi kuliko binaadamu mwingine. Binaadamu wote ni sawa.
Hawa wanajiona wao ni Bora, kuliko wengine. Lakini kiuhalisia wanabebeshana past traumas kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Mambo ya judea sjui Samaria yanasaidia nini, ikiwa tayari kulikuwa na wenyeji wanaishi pale, hata kama walikuwa wanatawaliwa na wakoloni.
Ni sawa uende mji wa MTU, umuambie atoke kisa miaka Mia iliyopita kulisadikika babu zake kuishi pale.
Na kingine wanachochanganya wengi, ni kusema kuwa hii migongano iliyopo sasa, chanzo ni dini. Wakati kiuhalisia Israel Wana project Yao wanahitaji kuifanikisha.
Wewe umefanya nini kuicontrol dunia? Hizi ni akili za kimasikiniHujui hata kuwa technology imeongeza dhiki na ni end effect ya kutaka kushinda nature?
Hujui kuwa hawajamaa wanafanya vile kui dumb down dunia ili wapate kucontrol na kuendelea ujinga wao?
Israel itabakia kuwa Taifa Teule mtake msitake!! Na lazima Mtanyooka tuPropaganda walokole kila siku Israel Israel ila ni hoe hae tu kajamba nani
Nihakikishie wapi waisrael wameua wasio na hatia baadaye tuendelee!!Mkuu lakini mbona hao jamaa wanachukiana?
Mwezi uliopita West Ham walisajili mchezaji kutoka Israel Manor Salomon. Tafuta hilo jina halafu fuatilia comments za "Upendo" kutoka kwa Pro-Palestines.
Niko against na CHUKI ya aina yoyote, niko against na Double Standard ya aina yoyote. Haijalishi wanagombania nini ila Waisrael wanaua wasio na hatia, Wapalestina wanaua pia wasio na hatia. Kwanini tuwachukie wa upande mmoja?
Ufaransa , Poland England , ujerumani na hata US kumekuwa na mlolongo wa matukio ya kuwapiga vita hawa jamaa , hata hapo mashariki ya kati wapo wayahudi asilia wanawapiga vita hao AshkenazMkuu lakini mbona hao jamaa wanachukiana?
Mwezi uliopita West Ham walisajili mchezaji kutoka Israel Manor Salomon. Tafuta hilo jina halafu fuatilia comments za "Upendo" kutoka kwa Pro-Palestines.
Niko against na CHUKI ya aina yoyote, niko against na Double Standard ya aina yoyote. Haijalishi wanagombania nini ila Waisrael wanaua wasio na hatia, Wapalestina wanaua pia wasio na hatia. Kwanini tuwachukie wa upande mmoja?
Ukisoma historia ya dunia,zipo tabaka za jamii(waliokua na upeo) sanasana kutoka West europe hata ulaya zilifanya propaganda kwa wale (waliokua na upeo duni) -East urope kwamba wao ni Wateule wa Mungu..nafikiri nilisoma sehemu wahungary walitumia same propaganda kuitesa jamii flan ya east europe..so na conclude hakuna Uteule ni Propaganda Wajinga na wapumbavu Waafrika hatufikirii kwa utafiti wa kinaMkuu
Niliwalenga wanao amini hao ni taifa teule na kuamini watu kutembea miaka 40.
Buza.Nihakikishie wapi waisrael wameua wasio na hatia baadaye tuendelee!!
Wayahudi ni wale wale tu mnawabambikizia majina mengi Ili kuwagawia lakini wao ni walewale wala hawabaguani Kama mnavyowabagua ninyi Mmatumbi ni Mmatumbi tu hata Kama kutokea Kilwa!!!Ufaransa , Poland England , ujerumani na hata US kumekuwa na mlolongo wa matukio ya kuwapiga vita hawa jamaa , hata hapo mashariki ya kati wapo wayahudi asilia wanawapiga vita hao Ashkenaz
Propaganda za waarabu kujilizaliza na kusingizia mauaji ya Gaza huku Meiji Toa ufahamu na kufumbia macho mauaji yaliyofanywa na Magaidi wa Hamas Oct 07,2023Propaganda walokole kila siku Israel Israel ila ni hoe hae tu kajamba nani
Zinanisaidia kujua fuvu lako limejaa tope na kinyesiKwa hiyo kwa hizo takwimu ulizoweka hapa wewe Kama Mwarabu-koko zinakusaidia nini?
Endelea kutumiwa kama Condoms!!Zinanisaidia kujua fuvu lako limejaa tope na kinyesi
Mtafute mwanahabari wa kunitegemea, Mrusi mwenye asili ya Israel anaitwa Andrey Ilyich Khrzhanovskiy au andreyX ili uone mambo wanayofanya magaidi wa kiyahudi dhidi ya Wa Palestine waishio West bank na GazaUkitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi.
Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa wana akili chafu na mbovu, inashangaza sana wanao amini hilo eti ni taifa teule.
Hawa jamaa kiundani kabisa hawajulikani ila mitandao ya kijamii imekuja waumbua , ni tofauti kabisa na watu hasa jamii za Africa zinavyowafikiri walivyo
Hamzah saadah 👇View attachment 3675507
Wajinga na wapumbavu tu ndiyo watawatafuta wanaolipwa kwa ajili ya kulichafua Taifa teule la Israel!!Mtafute mwanahabari wa kunitegemea, Mrusi mwenye asili ya Israel anaitwa Andrey Ilyich Khrzhanovskiy au andreyX ili uone mambo wanayofanya magaidi wa kiyahudi dhidi ya Wa Palestine waishio West bank na Gaza
usiongee kama mtu aliyekatwa kichwa..Nimekupa jina la huyo mwandishi ambaye ni myahudi pia...tafuta videos zake huko youtube,facebook,tiktok,insta n.k utaona mambo yanayofanywa na magaidi wa kizayuniWajinga na wapumbavu tu ndiyo watawatafuta wanaolipwa kwa ajili ya kulichafua Taifa teule la Israel!!
Na mkumbuke hao hawajaanza leo!!!
Walikuwepo akina Haman, Farao,Goliath na Herode na Hitler wote hao waliangukia Pua na taifa teule bado lipo mpaka leo!!
Mimi si Bumunda wa kufata mawazo ya mtu mwenye Mihemko binafsi bila kufuata Historia husika huyo atawaokota wajinga na wapumbavu tu ambao wakija hapa na video zao za michongo tutawauliza najua hawataweza kutujibu!!usiongee kama mtu aliyekatwa kichwa..Nimekupa jina la huyo mwandishi ambaye ni myahudi pia...tafuta videos zake huko youtube,facebook,tiktok,insta n.k utaona mambo yanayofanywa na magaidi wa kizayuni