Wayahudi na mtazamo wao kuhusu Palestina

Sijaona mtazamo wao zaidi ya majungu tu hapa kutoka kwenye Bandiko.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mtafute mwanahabari wa kunitegemea, Mrusi mwenye asili ya Israel anaitwa Andrey Ilyich Khrzhanovskiy au andreyX ili uone mambo wanayofanya magaidi wa kiyahudi dhidi ya Wa Palestine waishio West bank na Gaza
Andrey Ilyich Khrzhanovsky ni Mwanaharakati video zake nyingi ni za kuchochea watoto wadogo wafanye vurugu kwa askari wa Israel huku wao wakipiga picha na kuzisambaza kuonyesha na kujenga chuki dhidi ya Wayahudi.

Mwandishi huyo amekuwa gwiji wa kuwatumia watoto na wanawake katika kaharibu taswira safi ya Israel!!

Baada ya mauaji yaliyofanywa na hamas Oct 07,2023 sasa hivi hakuna upuuzi huo ukiwafanya watoto kuwa kinga yako(Human-Shield) wewe na hao watoto mtakutana kaburini..

Huyo mwandishi kwa sasa hawezi kuleta ujinga na upumbavu wake huo!!

Mwambieni aje Tanzania afanye hivyo aone kama hatang'olewa meno bila ganzi!!
 

Attachments

  • f9c926388d0a961eae07962420c814a3.mp4
    11.6 MB
Inasemekana wayahudi wa kale walikuwa ni weusi, sijui walibadilika lini kuwa weupe...

NB: zipo taarifa nyingi zinazodai wayahudi waliotoka misri walikuwa weusi ijapokuwa haijatamkwa wazi kwenye biblia.
 
Inasemekana wayahudi wa kale walikuwa ni weusi, sijui walibadilika lini kuwa weupe...

NB: zipo taarifa nyingi zinazodai wayahudi waliotoka misri walikuwa weusi ijapokuwa haijatamkwa wazi kwenye biblia.
Hata wangekuwa wa Blue wayahudi watabaki kuwa wayahudi tu!!

Wao hawabaguani kwa rangi ninyi Waarabu-koko mnawabagua kwa rangi zao sijui itawasaidia nini?
 
We jamaa mbona kazi yako ni kuweka negative energy tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…