Wewe endelea kuongea ujinga wako na Israel wao wako juu zaidi ya ujinga wako huo!!Ukiingia kwenye post za jamaa upande wa comment section , utacheka sana , watu hawaamini wanachokiona , kuna mipaka poda ya kutosha mitoto ya yuda😁
Hawajanyimwa kujitetea dhidi ya ujambazi wao ila ni watu wa kawaida tu, jamii za kimatumbi zina wakuza tu kifalaAcheni wayahudi wajitetee, hao wakizubaa tu kweli watafutwa kwenye uso wa dunia wala sio masihara. Acha wajitetee vile wanavyoweza
hivi wale wakongo waliokua wanakatwa mikono kwenye mashamba huko wasipofikisha kiwango cha kuvuna hawajateseka?Hao wameteseka kweli sio utani
unataka kusemaje wewe subiri aipac iangamie tuAkikujibu nijulishe nami nione majibu yake!!
mbona wale wayahudi wanaoishi iran hawajawafuta? kwamba na wale wanasubiri mpaka nyuklia ndo wawafute? haya matango pori hivi hua mnayachakata kweli?Siyo hofu bali ni uhaoisia kabisa!
Wakilemaa wanaondoka kabisa kwenye uso wa dunia, ndio maana huwa wakishusha kipigo kinakuwa kikali kwelikweli.
Waarabu hasa Iran wangekuwa na nukes wangeshawafuta kabisa
😁😁 vijamaa hata kenya tu havijawahi kufika sembuse mambo ya kiduniahivi wale wakongo waliokua wanakatwa mikono kwenye mashamba huko wasipofikisha kiwango cha kuvuna hawajateseka?
kwahiyo wanalipa kisasi? nao wanawatesa wenzao?
unataka kusemaje wewe subiri aipac iangamie tu
mbona wale wayahudi wanaoishi iran hawajawafuta? kwamba na wale wanasubiri mpaka nyuklia ndo wawafute? haya matango pori hivi hua mnayachakata kweli?
hapo unaambiwa yani hiyo hali ilivyo ndo unabii unatimia aisee 😁😁😁 vijamaa hata kenya tu havijawahi kufika sembuse mambo ya kidunia
We mwenyewe unajua unaongea hisia tu.Hawajanyimwa kujitetea dhidi ya ujambazi wao ila ni watu wa kawaida tu, jamii za kimatumbi zina wakuza tu kifala
Mkuu hata wewe ungekua Muisraeli ungekuwa kama walivyo wa israel wote Duniani………… inategemea na umezaliwa upande upiHata wewe ungekua mpalestina uonevu wa namna ile usingekubali , hata kidogo.
Waafrika hawajui mbya wao ndipo tatizo linapoanzia .hivi wale wakongo waliokua wanakatwa mikono kwenye mashamba huko wasipofikisha kiwango cha kuvuna hawajateseka?
kwahiyo wanalipa kisasi? nao wanawatesa wenzao?
unataka kusemaje wewe subiri aipac iangamie tu
mbona wale wayahudi wanaoishi iran hawajawafuta? kwamba na wale wanasubiri mpaka nyuklia ndo wawafute? haya matango pori hivi hua mnayachakata kweli?
Ukisoma vizuri Bible utabaini kuwa mungu ameua watu wengi sana pengine kuliko hata shetani.Mkuu
Niliwalenga wanao amini hao ni taifa teule na kuamini watu kutembea miaka 40.
MkuuUkisoma vizuri Bible utabaini kuwa mungu ameua watu wengi sana pengine kuliko hata shetani.
Tena aviokoe kwa shetani ambae pia kamsuka mwenyewe na ana mmudu kwa kila kitu, 😁 kuna picha la kihindi hapaMkuu
Yani hii ni kweli mtu Amuue mwanae wapekee amuache shetani ili damu ya mwanae iokoe vinyago alivo vifinyanga kwa Udongo.
Kifo ni kifo tu ndugu yangu. Hebu imagine kwenye gharika ilisalia familia moja tuu ya Noah.Utakufa vibaya wewe😁
Akawatuma wayahudi govi 100 za wafilisti waue mpaka watoto wachanga , punde si punde ni mwenye upendo na anasamehe na anatutaka tusamehe mara 7 sabini😁Kifo ni kifo tu ndugu yangu. Hebu imagine kwenye gharika ilisalia familia moja tuu ya Noah.
Binadamu wengine wote regardless ya umri, wote wapenda na maji.
MkuuTena aviokee kwa shetani ambae pia kamsuka mwenyewe na ana mmudu kwa kila kitu, 😁 kuna picha la kihindi hapa
Anawajaribu kuku kama wataliwa na papo hapo anajua kabisa wataliwa na ni yeye kawaunda wawe na uwezo wa kuliwa na mbwa aliye muunda , punde si punde 😁Mkuu
Yani shetani ana predict future ya MUNGU maana wanadamu wameumbwa wamuabudu sasa shetani anawapotosha makusudi ila MUNGU muoga kum challange shetani kwa wanadamu wake.
Yaani ni sawa ufuge mbwa aanze kula kuku wako na umuogope hata sumu si umuwekee.