Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement
============
Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na madai ya maafisa wa serikali waliodai kuwa Israel haina uhusiano wowote na ufadhili huo.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, serikali iliidhinisha uhamisho wa shekeli milioni 700 (sawa na takriban dola milioni 280) mwezi uliopita kwenda kwa chanzo kisichofahamika, ambacho kimeelezwa tu na serikali kama “taasisi ya ulinzi.”

Ikimnukuu afisa ambaye hakutajwa jina, Kan iliripoti kuwa fedha hizo zinatumika kufadhili utaratibu mpya wa misaada unaoendeshwa na Gaza Humanitarian Foundation, na kwamba uamuzi wa kuhamisha fedha hizo ulifanyika kwa usiri mkubwa ili kuzuia umma kujua — ikisemekana kuwa kufanya hivyo kungesababisha hasira kubwa miongoni mwa wafuasi wa serikali wenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia.

======================
The Israeli government has transferred hundreds of millions of shekels to fund the new humanitarian aid mechanism in the Gaza Strip, Kan news reported Wednesday, contradicting government officials who have insisted that Israel has no part in its funding.

According to the report, the government approved the transfer of NIS 700 million (some $280 million) last month to an unclear source, identified by the government only as “the defense establishment.”

Citing unnamed officials, Kan reported that the money was being used to fund the new aid mechanism, run by the Gaza Humanitarian Foundation, and that the decision to transfer the funds was made under the radar in an attempt to keep the public from finding out — ostensibly since doing so would be highly unpopular with the government’s hard-right base.

00:00

34:32

The Israel- and US-backed GHF began operating in Gaza late last month, with Jerusalem saying it would serve as an alternative to previous aid distribution mechanisms, as a way to prevent Hamas from hoarding aid and using it to control the population.

At the same time, the organization and US officials have maintained that it is an independent and neutral body.

Get The Times of Israel's Daily Edition
by email and never miss our top stories
Newsletter email address
Your email
Get it
By signing up, you agree to the terms
The government has insisted that it has no part in funding GHF, which has faced scrutiny due to the lack of information regarding its funds.

The organization claimed to have received more than $100 million in commitments from a foreign government donor but did not name the donor.

People carry boxes of relief supplies from the Gaza Humanitarian Foundation in the central Gaza Strip on May 29, 2025. (Eyad BABA / AFP)
Opposition Leader Yair Lapid suggested last week that the government was secretly funding the aid group through foreign “shell companies,” but this was quickly shot down by the Prime Minister’s Office.

Advertisement
“Israel does not fund the humanitarian assistance to the Gaza Strip,” Prime Minister Benjamin Netanyahu’s spokesman Omer Dostri said. “Israel and the United States are working in full coordination and through various channels to cut off aid from reaching Hamas.”

In response to the Kan report, the Prime Minister’s Office and the office of Finance Minister Bezalel Smotrich insisted that the country “is not funding humanitarian aid to Gaza.”

The New York Times reported late last month that the organization was conceived by several Israelis, including businessmen with close links to the government. The report said the project wasn’t merely built in coordination with Israel, but is “an Israeli brainchild.”

The idea was first proposed in late 2023 at “private meetings of like-minded officials, military officers and business people with close ties to the Israeli government” who believed the government lacked a long-term Gaza strategy, the report said.

A boy carries a box of relief supplies from the Gaza Humanitarian Foundation (GHF) in the central Gaza Strip on May 29, 2025. (Eyad BABA / AFP)
The report posited that the “project’s genesis” occurred when “hundreds of thousands of Israeli civilians rejoined the military as reservists, many of them reaching positions of influence,” following the Hamas-led October 7, 2023, attacks.

This created “a huge cohort of Israelis with one foot in the military and another in civilian life, blurring the boundary between the two worlds.”

Advertisement
The group’s central idea was to bypass traditional aid channels like the UN by hiring private contractors to distribute aid in pockets of Gaza under Israeli control, thus weakening Hamas’s grip without formally assuming responsibility for Gaza’s civilian population.

The first days of the GHF’s operations have been mired by violence.

On Sunday, Monday and Tuesday, the IDF said it fired warning shots toward Palestinians outside an aid distribution site after they approached troops while straying off a pre-approved path. Hamas officials and the Red Cross claimed dozens were killed and hundreds wounded from gunfire. The IDF asserts that those figures are exaggerated, while saying it is investigating the allegations.

GHF did not open its sites on Wednesday, after eight consecutive days of operation. It said the temporary shutdown was implemented in order to carry out logistical work in order to more safely accommodate more Palestinians at distribution sites.

To support civilian safety outside distribution sites, a spokesperson said GHF had asked the IDF to introduce measures that guide foot traffic in a way that minimizes confusion or escalation risks near the IDF-operated perimeter around the sites; develop clearer IDF-issued guidelines to help Palestinians safely reach the distribution sites; and boost IDF training and refine internal procedures to ensure the safety of Palestinians.

, world, for free.

Sure, we'll remove all ads from your page and you'll unlock access to some excellent Community-only content. But your support gives you something more profound than that: the pride of joining something that really matters.

Join our Community
Already a member? Sign in to stop seeing this
Most Popular
Members of the Abu Shabab gang in Gaza, seen in a recent video posted by the group. (screen capture: Facebook)
1
Israel providing guns to Gaza gang to bolster opposition to Hamas
Rembrandt's Moses with the Ten Commandments,1659, Germaldegalerie, Staatliche Museen, Berlin (photo credit: Google Art Poject / Wikipedia Commons)
2
Who wrote the Bible? A pioneering new algorithm may shatter scholarly certitude
Democratic mayoral candidates Andrew Cuomo, far left, and Zohran Mamdani, second from right, argue as Whitney Tilson, second from left, and Michael Blake look on during a Democratic mayoral primary debate, June 4, 2025, in New York. (AP Photo/Yuki Iwamura, Pool)
3
In 1st debate, NYC mayoral candidates spar over Israel’s right to exist as Jewish state
IDF soldiers operate in Khan Younis as the IDF expands its ground offensive in the Gaza Strip, June 5, 2025. (Stav Levaton/Times of Israel)
4
A city of booby traps, tunnels: ToI in Khan Younis hours after bodies of 2 hostages retrieved
Advertisement
read more:
Israel & the Region Gaza Humanitarian Foundation GHF 2023-2025 Israel-Hamas war Gaza Strip humanitarian aid
If you’d like to comment, join
The Times of Israel Community.
conversation-loading
Back to top
The Times of Israel
© 2025 The Times of Israel, all rights reserved
Developed by

Powered by
 
Hata wakifanya nini, bado kuna watoto wasio na hatia wanakufa.

Shame on them
Ndio madhara ya vita, vita haina macho. Next time, Hamas wasiwachokoze. Wafanye proper calculation before invasion or else, wataisha wote
 
Kama wanawapenda hao raia wa Gaza , wasitishe vita na waruhusu mashirika ya misaada wafanye kazi zao kwa uhuru
 
Ndio madhara ya vita, vita haina macho. Next time, Hamas wasiwachokoze. Wafanye proper calculation before invasion or else, wataisha wote
Kwa mantiki hiyo, vita hiyo haitoisha.

Yani watu wana normalise uuwaji wa halaiki.

Billions of Dollars and all we see is Innocent children, pregnant women and othe r civilians killed.

Ati Taifa kubwa? Unashidwaje na Hicho kikundi cha watu wachache?

Kwanza walidai, wapo magaidi 30,000, wameshau karibia watu 50,000.

Wakiingia Gaza walidai wameua magaidi elfu kumi na ushee 10,000 wengine majeruhi, ikiwa ina maana wamebakia 10,000 wengine.

Aniweyi, vita muvisikie.

=====
Hao hata sijui kama wanaweza kupigana na Wanajeshi wa Rwanda.

Vyovyote utakavyo sema, bado vita haina macho. Sehemu zote kulikowahi kutokea vita, watoto, kina mama na hata wajawazito huaga wanakua victims; so binafsi ninacho kiona, Hamas waache kuwachokoza Waisrael kwasababu wanaujua moto wao, wakianza kupiga, hawasikilizagi ch mnadi swala wala kengere ya kanisani, they will keep on firing 🔥 regardless sie wa kwa mtoro tunasemaje, they don't care
 
Mkuu hi video ina uhusiano gani na tunacho kijadiri? Vita haina macho, ukianzisha vita usitegemee kwamba watao kufa ni askari pekee yao, watakufa pia raia, wanawake na watoto; yanatokea hayo Congo, Sudan, Somalia lakini hata Boko haram wanafanya haya na zaidi kule Nigeria BUT kwakua Boko haram ni kikundi cha Kiislam hutasikia wakilalamikiwa cause waislamu mnadhani kuua watu wengine ni HALALI. But again, Syria, Iran, Afghanistan nk kote huko watoto na wanawake pia wameuawa; point yangu hapa ni hi, "vita haina macho" next time, Hamas msiwachokoze wale jamaa, hamna uwezo wa kuwapiga, hamna. But same Hamas, ile October 07, 2023 nao pia waliua wanawake na watoto; hilo mbona halisemwi? Deal na chanzo na sio matokeo. Achana na hizo video za propaganda, hazita wasaidia Wapalestina.
 
Vita vina sheria ambazo nchi zimezikubali na kutoa Saint. Kinyume cha hivyo inakuwa umetenda makosa. Hayo anayofanya Muisraeli ni kuwa ameenda kinyume na mkataba aliotia Saint mwenyewe na ndio ameshitakiwa na jumuiya ya kimataifa
 
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement
============
Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na madai ya maafisa wa serikali waliodai kuwa Israel haina uhusiano wowote na ufadhili huo.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, serikali iliidhinisha uhamisho wa shekeli milioni 700 (sawa na takriban dola milioni 280) mwezi uliopita kwenda kwa chanzo kisichofahamika, ambacho kimeelezwa tu na serikali kama “taasisi ya ulinzi.”

Ikimnukuu afisa ambaye hakutajwa jina, Kan iliripoti kuwa fedha hizo zinatumika kufadhili utaratibu mpya wa misaada unaoendeshwa na Gaza Humanitarian Foundation, na kwamba uamuzi wa kuhamisha fedha hizo ulifanyika kwa usiri mkubwa ili kuzuia umma kujua — ikisemekana kuwa kufanya hivyo kungesababisha hasira kubwa miongoni mwa wafuasi wa serikali wenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia.

======================
The Israeli government has transferred hundreds of millions of shekels to fund the new humanitarian aid mechanism in the Gaza Strip, Kan news reported Wednesday, contradicting government officials who have insisted that Israel has no part in its funding.

According to the report, the government approved the transfer of NIS 700 million (some $280 million) last month to an unclear source, identified by the government only as “the defense establishment.”

Citing unnamed officials, Kan reported that the money was being used to fund the new aid mechanism, run by the Gaza Humanitarian Foundation, and that the decision to transfer the funds was made under the radar in an attempt to keep the public from finding out — ostensibly since doing so would be highly unpopular with the government’s hard-right base.

00:00

34:32

The Israel- and US-backed GHF began operating in Gaza late last month, with Jerusalem saying it would serve as an alternative to previous aid distribution mechanisms, as a way to prevent Hamas from hoarding aid and using it to control the population.

At the same time, the organization and US officials have maintained that it is an independent and neutral body.

Get The Times of Israel's Daily Edition
by email and never miss our top stories
Newsletter email address
Your email
Get it
By signing up, you agree to the terms
The government has insisted that it has no part in funding GHF, which has faced scrutiny due to the lack of information regarding its funds.

The organization claimed to have received more than $100 million in commitments from a foreign government donor but did not name the donor.

People carry boxes of relief supplies from the Gaza Humanitarian Foundation in the central Gaza Strip on May 29, 2025. (Eyad BABA / AFP)
Opposition Leader Yair Lapid suggested last week that the government was secretly funding the aid group through foreign “shell companies,” but this was quickly shot down by the Prime Minister’s Office.

Advertisement
“Israel does not fund the humanitarian assistance to the Gaza Strip,” Prime Minister Benjamin Netanyahu’s spokesman Omer Dostri said. “Israel and the United States are working in full coordination and through various channels to cut off aid from reaching Hamas.”

In response to the Kan report, the Prime Minister’s Office and the office of Finance Minister Bezalel Smotrich insisted that the country “is not funding humanitarian aid to Gaza.”

The New York Times reported late last month that the organization was conceived by several Israelis, including businessmen with close links to the government. The report said the project wasn’t merely built in coordination with Israel, but is “an Israeli brainchild.”

The idea was first proposed in late 2023 at “private meetings of like-minded officials, military officers and business people with close ties to the Israeli government” who believed the government lacked a long-term Gaza strategy, the report said.

A boy carries a box of relief supplies from the Gaza Humanitarian Foundation (GHF) in the central Gaza Strip on May 29, 2025. (Eyad BABA / AFP)
The report posited that the “project’s genesis” occurred when “hundreds of thousands of Israeli civilians rejoined the military as reservists, many of them reaching positions of influence,” following the Hamas-led October 7, 2023, attacks.

This created “a huge cohort of Israelis with one foot in the military and another in civilian life, blurring the boundary between the two worlds.”

Advertisement
The group’s central idea was to bypass traditional aid channels like the UN by hiring private contractors to distribute aid in pockets of Gaza under Israeli control, thus weakening Hamas’s grip without formally assuming responsibility for Gaza’s civilian population.

The first days of the GHF’s operations have been mired by violence.

On Sunday, Monday and Tuesday, the IDF said it fired warning shots toward Palestinians outside an aid distribution site after they approached troops while straying off a pre-approved path. Hamas officials and the Red Cross claimed dozens were killed and hundreds wounded from gunfire. The IDF asserts that those figures are exaggerated, while saying it is investigating the allegations.

GHF did not open its sites on Wednesday, after eight consecutive days of operation. It said the temporary shutdown was implemented in order to carry out logistical work in order to more safely accommodate more Palestinians at distribution sites.

To support civilian safety outside distribution sites, a spokesperson said GHF had asked the IDF to introduce measures that guide foot traffic in a way that minimizes confusion or escalation risks near the IDF-operated perimeter around the sites; develop clearer IDF-issued guidelines to help Palestinians safely reach the distribution sites; and boost IDF training and refine internal procedures to ensure the safety of Palestinians.

, world, for free.

Sure, we'll remove all ads from your page and you'll unlock access to some excellent Community-only content. But your support gives you something more profound than that: the pride of joining something that really matters.

Join our Community
Already a member? Sign in to stop seeing this
Most Popular
Members of the Abu Shabab gang in Gaza, seen in a recent video posted by the group. (screen capture: Facebook)
1
Israel providing guns to Gaza gang to bolster opposition to Hamas
Rembrandt's Moses with the Ten Commandments,1659, Germaldegalerie, Staatliche Museen, Berlin (photo credit: Google Art Poject / Wikipedia Commons)
2
Who wrote the Bible? A pioneering new algorithm may shatter scholarly certitude
Democratic mayoral candidates Andrew Cuomo, far left, and Zohran Mamdani, second from right, argue as Whitney Tilson, second from left, and Michael Blake look on during a Democratic mayoral primary debate, June 4, 2025, in New York. (AP Photo/Yuki Iwamura, Pool)
3
In 1st debate, NYC mayoral candidates spar over Israel’s right to exist as Jewish state
IDF soldiers operate in Khan Younis as the IDF expands its ground offensive in the Gaza Strip, June 5, 2025. (Stav Levaton/Times of Israel)
4
A city of booby traps, tunnels: ToI in Khan Younis hours after bodies of 2 hostages retrieved
Advertisement
read more:
Israel & the Region Gaza Humanitarian Foundation GHF 2023-2025 Israel-Hamas war Gaza Strip humanitarian aid
If you’d like to comment, join
The Times of Israel Community.
conversation-loading
Back to top
The Times of Israel
© 2025 The Times of Israel, all rights reserved
Developed by

Powered by
Napinga vikali kutoa msaada huo kwa mashetani.
 
Hapo ndipo wanapokosea adui wangemuacha afe kwa njaa wanaleta amani wakati wa vita NETA NYAHU Ajihudhuru
 
Vita vina sheria ambazo nchi zimezikubali na kutoa Saint. Kinyume cha hivyo inakuwa umetenda makosa. Hayo anayofanya Muisraeli ni kuwa ameenda kinyume na mkataba aliotia Saint mwenyewe na ndio ameshitakiwa na jumuiya ya kimataifa
Unaizungumzia jumuia ya kimataifa ipi kaka? ICC? Vita iliomtoa Gaddaf madarakani, haikuua wanawake na watoto? Afghanistan, Iraq nk lini ulisikia wale nao wameshtakiwa na hiyo jumuia ya kimataifa? Yule mshtaki wa ICC imethibitika ni muislam, watu walio against na Israel kwasababu zao za kidini, now ieleweke kwamba, mimi siungi mkono mauaji yanayofanywa na Israel, lakini swali ambalo wote hamtaki kulijibu including hao unao waita kama jumuia ya kimataifa ni hili, hivi nyie ndio mngekua ndio viongozi wa Israeli or wewe ndio Netanyahu halafu Hamas wameua watu 1200, katika hao 1200 wapo wageni (Joshua na Mollel Watanzania wenzetu) na pia kwenye hiyo hesabu, wapo wanawake na watoto, ungekua ndio kiongozi wa nchi ungefanya nini? Kitu ambacho kinanishangaza kidogo kwa watu wa mlengo wako (hapa sio lazima uwe wewe binafsi ) yanayotokea nchini kwasasa (utekaji na uuaji ) nayo mnayatafsiri kidini, kwamba kwa kua rais ni muislam eti anaonewa kwasababu ya dini yake, this is more than stupidity, kwani dini yake inaruhusu kuua ua watu unnecessary? Tujadiri hoja, tuweke kando masuala ya kidini. Next time Hamas hawataki watu wao kuuawa, wasianzishe vita. Mbona walikua wanaishi kwa amani tu before October 07.
 
kuuliwa watoto popote na wanawake kwa sheria ya kimataifa hayo ni makosa . Haijalishi iwe Gaza , Congo , Afghanistan au popote. Inaelekea wewe huelewi kiengereza uko kwenye mrengo wa kidini zaidi wa kilokole masalia. Hivi ile clip niliyokuletea yule anayeelezea ni mwaislamu. Yeye ni Myahudi tena wa Israeli , hebu msikilize usiwe na kiburi . hao wayahudi wanaouwa wanatoka ulaya na Marekani . Na hakuna historia yoyote inayowahusisha wao kuja kuuwa watu hapo kujinyakulia ardhi. Yaani wewe unaumwa zaidi ya wayahudi wanaoishi israeli ??
 
Umesoma nilicho kiandika au umetengeneza assumption before you comment? Nimekuuliza, why hiyo jumuia ya kimataifa (kama kweli ina uchungu na mauaji ya watoto na wanawake ) haikiwachukulia hatua wale walio ua Libya, Afghanistan, Iraq, Somalia na Sudan (halafu unasema naleta story za kilokole nikiwatetea Wayahudi) hizo nchi zote nilizo zitaja, over 98% ya waliokufa ni waislamu wenzio; wewe unaona wenye dini wanaotakiwa kutetewa only Wapalestina....., na mlivyo wabaguzi, hamsemi chochote kuhusu Mollel na Joshua Watanzania wenzetu ambao nao waliuawa ile October 07, 2023 na Hamas. Nani mbaguzi kati yangu mimi na wewe bro? Mauaji ya watoto na wanawake wa Kipalestina ni rahisi sana tu kuyazuia; msiwachokoze Wayahudi, period.
 
Jumuiya ya kimataifa inawachukulia hatua wale waliotia saini kwenye mkataba , Hao wanaosema Israeli ishitakiwe wamo wayahudi pia tena kuna yule aliyekuwa Waziri Mkuu anasema hivyo itakuwa wewe ?? Kama ni mauwaji hata hapa petu Zanzibar nani aliyewashitaki waliokuja kuvamia Zanzibar , kuuwa maelfu ya watu , kuiteka na kuifanya mali ya Tanganyika kwa kisingizio cha muungano ??
 
Back
Top Bottom