Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

Jumuiya ya kimataifa inawachukulia hatua wale waliotia saini kwenye mkataba , Hao wanaosema Israeli ishitakiwe wamo wayahudi pia tena kuna yule aliyekuwa Waziri Mkuu anasema hivyo itakuwa wewe ?? Kama ni mauwaji hata hapa petu Zanzibar nani aliyewashitaki waliokuja kuvamia Zanzibar , kuuwa maelfu ya watu , kuiteka na kuifanya mali ya Tanganyika kwa kisingizio cha muungano ??
Nikiwa nafanya mjadara na mtu, huaga napenda mtu ambaye kwanza awe anajua tunacho kijadiri halafu awe consistence na sio kubadiri badiri mwelekeo wa mazungumzo yetu. Hapa umeleta topic mpya kabisa.
Israel ina mkataba na ICC? Well, umeyataja mauaji ya Zanzibar, kwanini hatukwenda kushtaki huko badala ya kulalamika tu
 
Hatukuenda nani ?? Kwani nani ni victim ?? hivi akili yako iko timamu ?? Nimekupa mfano tu hapo unaanza kubabaika
 
Hatukuenda nani ?? Kwani nani ni victim ?? hivi akili yako iko timamu ?? Nimekupa mfano tu hapo unaanza kubabaika
Sijababaika, wewe ndio hauko consistence; kwani ili ICC wafanye kazi yao nini hua kinafanyika? Wanaamua in their own au sometimes wanapelekewa mashtaka? Hoja yangu iko hapo; nini ambacho huelewi?
Halafu mkuu, mbona kama una hasira sana, tatizo nini? Sie tupo Tanzania kaka, sio 🇮🇱 wala 🇵🇸
 
Back
Top Bottom