OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mayahudi ndo saizi yao mkuu. Wayahudi wako Kaskazini mwa Tanzania.Ukiachana na mada yako. Kwanin unawaita mayahudi badala ya wayahudi?
Hiyo ni dharau unawaona binadamu wenzako kama mambwa yani!
Mashia nao wanasema hivo hivo kuhusu wasunniMkuu mashia siyo waislamu wa kweli hawafati sunnah za Mtume. Wasunni tutaiyona pepo na tumeandaliwa mabikra 70 akhera na mtume Muddy.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hapa ndio utashangaa hii demokrasia ya kimarekani.Jamaa ushahidi wote wa kuua kwa amri yake umepatikana na bado raisi wa Marekani akamtemtea. Kumbe kulikuwa na kitu kinaendelea kwa siri na walitarajia kupata faida kubwa kwa kuendelea kumlinda.Muhammed bin Suleiman kafanya mengi na ya hatari kuwaridhisha mayahudi na Marekani.Huyo jamaa kamuua Kashoggi kikatili sana.
Kama ana dini, basi dini yake haifaiiii.
Dino ya kweli dunia hii ni UTU na UBINADAMU tu.
Trump ni mpumbavu.Hapa ndio utashangaa hii demokrasia ya kimarekani.Jamaa ushahidi wote wa kuua kwa amri yake umepatikana na bado raisi wa Marekani akamtemtea. Kumbe kulikuwa na kitu kinaendelea kwa siri na walitarajia kupata faida kubwa kwa kuendelea kumlinda.Muhammed bin Suleiman kafanya mengi na ya hatari kuwaridhisha mayahudi na Marekani.
Wewe jina lako la Lailaha ila Issa kwa kiarabu kwa mtazamo wa uislamu ni ushirikina mkubwa sana.Na si vyema hata kujadiliana nawe.Atakuja kujitetea kwa kuingizia stori za kwenye kiarabu ooh mayahudi inamaanisha hivi...Kwani sisi tunaongea kiarabu humu??
kama unaandika kiarabu tumia herufi za kiarabu Astaghfirwallah
Kaka tafadhali utumie ubongo kidogo. Kati ya wanasanyansi bora duniani waliopokea Tuzo ya Nobel takriban asilimia 20 ni Wayahudi, ingawa Wayahudi wenyewe ni kundi ndogo , si asilimia 1 ya binadamu wote.Mayahudi ni watu wa njama daima na kupokea tu,hakuna wanachotoa.Wanapenda watajwe vyema lakini wanatenda uovu.Wanataka uhusiano mzuri na ndugu wa wapalestina na wakati huo huo wanawakandamiza na kuwavunjia majumba yao bila haya.
Mimi sijui kiarabuWewe jina lako la Lailaha ila Issa kwa kiarabu kwa mtazamo wa uislamu ni ushirikina mkubwa sana.Na si vyema hata kujadiliana nawe.
Mgogoro wa mashariki ya kati binafsi naamini utamalizika endapo tu kila mmoja atajaribu kuweka dini yake pembeni wakati wa mahadiliano ya kutafuta muafaka.Nakubaliana nawe.Upumbavu wake umewafaidisha sana Israel .Vyenginevyo maamuzi yake ya kipumbavu itakuwa kaondoka na kuzidisha migogoro ya mashariki ya kati na kukaribisha laana ya Mwenyezi Mungu.
Atakuja akuambie jamii inayosisitiza elimu kuliko zote ni jamii ya kiislam maana hata muhamad alipotokewa na pepo pale pangoni usiku lilimuambia mara tatu..Soma,Soma,SomaKaka tafadhali utumie ubongo kidogo. Kati ya wanasanyansi bora duniani waliopokea Tuzo ya Nobel takriban asilimia 20 ni Wayahudi, ingawa Wayahudi wenyewe ni kundi ndogo , si asilimia 1 ya binadamu wote.
Ukifika hospitali na kupata tiba nzuri, ni shauri ya kazi ya wataalamu wengi pamoja na hao Wayahudi.
Machoni pangu mtaalamu anayefanya utafiti kwa manufaa ya watu wote anajitolea akichangia jambo muhimu kwa binadamu wote.
Asilimia 20 ni Wayahudi 8ilhali Wayahudi wote ni kama milioni 15 pekee duniani kati ya bilioni 7.
Wayahudi wanasisitiza elimu kwa watoto wao, kushinda jumuiya nyingi za dunia. Kama wote wangeisisitiza vile, tungekuwa mbele zaidi. Zao moja ya juhudi hiyo ni idadi kubwa ya wataalamu wanaopokea Tuzo ya Nobel kwa kazi bora ya kisayansi.
Ukipenda kuwajua kwa undnai zaidi, tafuta habari za hao wanaNobel Wayahudi waliopokea Tuzo ya Nobel ya Tiba:
Élie Metchnikoff, Robert Bárány, Otto Fritz Meyerhof, Karl Landsteiner, Otto Heinrich Warburg, Otto Loewi, Joseph Erlanger, Ernst Boris Chain, Hermann Joseph Muller, Gerty Cori, Tadeusz Reichstein, Selman Waksman, Hans Adolf Krebs, Joshua Lederberg, Arthur Kornberg, Konrad Emil Bloch, François Jacob, George Wald, Marshall Warren Nirenberg, Salvador Luria, Julius Axelrod, Gerald Edelman, David Baltimore, Baruch Samuel Blumberg, Rosalyn Sussman Yalow, Daniel Nathans, Baruj Benacerraf, John Vane, César Milstein, Michael Stuart Brown, Stanley Cohen, Gertrude B. Elion, Harold E. Varmus, Alfred G. Gilman, Stanley B. Prusiner, Robert F. Furchgott, Paul Greengard, Sydney Brenner, Richard Axel, Andrew Fire, Ralph M. Steinman, James E. Rothman, Michael Rosbash, Harvey J. Alter
Ukitaka kuwapima watu kwa kupokea zawadi za Nobel hutaeleweka vyema kwani Nobel si kigezo kinachokubalika na kila mtu duniani na wala hakukuwa na kura kushauriana juu ya vigezo vya kuwapima watu duniani. Zaidi ni kuwa watoaji zawadi ni akina wao unategemea lini utasikia jina la Muarabu mpalestina akiwa mshindi wa Nobel.Kaka tafadhali utumie ubongo kidogo. Kati ya wanasanyansi bora duniani waliopokea Tuzo ya Nobel takriban asilimia 20 ni Wayahudi, ingawa Wayahudi wenyewe ni kundi ndogo , si asilimia 1 ya binadamu wote.
Ukifika hospitali na kupata tiba nzuri, ni shauri ya kazi ya wataalamu wengi pamoja na hao Wayahudi.
Machoni pangu mtaalamu anayefanya utafiti kwa manufaa ya watu wote anajitolea akichangia jambo muhimu kwa binadamu wote.
Asilimia 20 ni Wayahudi 8ilhali Wayahudi wote ni kama milioni 15 pekee duniani kati ya bilioni 7.
Wayahudi wanasisitiza elimu kwa watoto wao, kushinda jumuiya nyingi za dunia. Kama wote wangeisisitiza vile, tungekuwa mbele zaidi. Zao moja ya juhudi hiyo ni idadi kubwa ya wataalamu wanaopokea Tuzo ya Nobel kwa kazi bora ya kisayansi.
Ukipenda kuwajua kwa undnai zaidi, tafuta habari za hao wanaNobel Wayahudi waliopokea Tuzo ya Nobel ya Tiba:
Élie Metchnikoff, Robert Bárány, Otto Fritz Meyerhof, Karl Landsteiner, Otto Heinrich Warburg, Otto Loewi, Joseph Erlanger, Ernst Boris Chain, Hermann Joseph Muller, Gerty Cori, Tadeusz Reichstein, Selman Waksman, Hans Adolf Krebs, Joshua Lederberg, Arthur Kornberg, Konrad Emil Bloch, François Jacob, George Wald, Marshall Warren Nirenberg, Salvador Luria, Julius Axelrod, Gerald Edelman, David Baltimore, Baruch Samuel Blumberg, Rosalyn Sussman Yalow, Daniel Nathans, Baruj Benacerraf, John Vane, César Milstein, Michael Stuart Brown, Stanley Cohen, Gertrude B. Elion, Harold E. Varmus, Alfred G. Gilman, Stanley B. Prusiner, Robert F. Furchgott, Paul Greengard, Sydney Brenner, Richard Axel, Andrew Fire, Ralph M. Steinman, James E. Rothman, Michael Rosbash, Harvey J. Alter
Wew inakuuma nini?Mayahudi ni watu wa njama daima na kupokea tu,hakuna wanachotoa.Wanapenda watajwe vyema lakini wanatenda uovu.Wanataka uhusiano mzuri na ndugu wa wapalestina na wakati huo huo wanawakandamiza na kuwavunjia majumba yao bila haya.
Katika hili umepewa nafasi kubwa kuujua Uislamu na kumjua Mwenyezi Mungu. Hii Qur'an ingetetemshwa kwa mshindi wa NOBEL ingekuwa ni kitu bomu na isingethibitisha kuwa ni Maneno ya Mwenyezi Mungu.Atakuja akuambie jamii inayosisitiza elimu kuliko zote ni jamii ya kiislam maana hata muhamad alipotokewa na pepo pale pangoni usiku lilimuambia mara tatu..Soma,Soma,Soma
Lakini mpaka anakufa alikuwa hajui kusoma na kuandika(illiterate)
Aliwezaje kuhifadhi Quran nzima?Katika hili umepewa nafasi kubwa kuujua Uislamu na kumjua Mwenyezi Mungu. Hii Qur'an ingetetemshwa kwa mshindi wa NOBEL ingekuwa ni kitu bomu na isingethibitisha kuwa ni Maneno ya Mwenyezi Mungu.
Mtu aliyekuwa hakusoma na hukujua kuandika lakini aliweza kuhifadhi Qur'an nzima na aliweza kutaja habari za mbingu na ardhi za Mbali na akataja alama za vidole zinazotumika leo kusajili simu na kugawa paspoti na kufungua mageti ya benki kuu na benki za kawaida.Yapo mengi ukisoma kwa utulivu utajua.
Mkuu mashia siyo waislamu wa kweli hawafati sunnah za Mtume. Wasunni tutaiyona pepo na tumeandaliwa mabikra 70 akhera na mtume Muddy.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Bila shaka kulikuwa na kipindi katika historia ambako jamii ya Waislamu ilkuwa mbele katika sayansi duniani. Hii sababu moja kwa nini kemia ina maneno mengi ya Kiarabu ndani yake (mfano: alcohol, alkali), pamoja na algorithm na mengine. Majina mengi ya nyota ni za Kiarabu kutokana na umaarufu wa sayansi ya Waislamu kama vile Altair, Aldebaran, Betelgeuse, Vega, Rigel na Algol.Atakuja akuambie jamii inayosisitiza elimu kuliko zote ni jamii ya kiislam maana hata muhamad alipotokewa na pepo pale pangoni usiku lilimuambia mara tatu..Soma,Soma,Soma
Lakini mpaka anakufa alikuwa hajui kusoma na kuandika(illiterate)
Kumbe hujui Yassir Arafat kutoka Palestina alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani?Ukitaka kuwapima watu kwa kupokea zawadi za Nobel hutaeleweka vyema kwani Nobel si kigezo kinachokubalika na kila mtu duniani na wala hakukuwa na kura kushauriana juu ya vigezo vya kuwapima watu duniani. Zaidi ni kuwa watoaji zawadi ni akina wao unategemea lini utasikia jina la Muarabu mpalestina akiwa mshindi wa Nobel.
Mfano wako ni kama kupima akili za waislamu wa Tanzania kwa kuangalia idadi ya mawaziri na wabunge.
Sawa kama hupendi Tuzo ya Nobel (inayokubaliwa na wengi duniani) taja kipimo kingine. Yaani mafanikio ya kisayansi ambayo hayakutambuliwa na kamati ya Nobel.Ukitaka kuwapima watu kwa kupokea zawadi za Nobel hutaeleweka vyema kwani Nobel si kigezo kinachokubalika na kila mtu duniani na wala hakukuwa na kura kushauriana juu ya vigezo vya kuwapima watu duniani. Zaidi ni kuwa watoaji zawadi ni akina wao unategemea lini utasikia jina la Muarabu mpalestina akiwa mshindi wa Nobel.
Mfano wako ni kama kupima akili za waislamu wa Tanzania kwa kuangalia idadi ya mawaziri na wabunge.