Tupo katika wazabuni.
pesa zishatengwa hata kabla ya zabuni hazitumwa [emoji3][emoji23]
na kujua thamani ya mradi...
mradi mzuri una changamoto zake na pesa.
Hizo pesa zimetengwa na bajeti gani...
sio kila kitu ni siasa.
huo mradi uta cost 8trllion .. kwa bajeti gani in 36 months? Au ubia mpya kama IPTL
Kalemani nae ni kazi maalum?? Amepiga deal zote z nishati na madini miaka zaidi 15 akiwa mwanasher hapo wizarani lakini hagusiki!!!! Chezea kanda maarumu