Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi
Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini Serikali italipa wazabuni walitoa huduma za chakula katika shule za sekondari nchini, ambapo naibu waziri wa fedha Ahmad Yusuph Chande akijibu swali ili alisema kuwa Serikali inahakiki madeni illipe
Kwa upande wa Mbunge Cesilia Pareso Chadema aliuliza ni lini wakandarasi wa ujenzi watalipwa madeni yao
Nae mbunge viti maalum Grece Tendega alihoji uhakiki huu unaendela kufanyika mpaka lini kwa sababu wangine wanadai madeni kwa kipindi kirefu
Baada swali ili naibu waziri alibadilisha majibu akiongeza kuwa wanafanya uhakiki na serikali ikipata pesa watalipa akiongeza na usemi wa dawa ya deni ni kulipa