Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Yaani utashangaa mtu yupo humu kupinga Taifa stars na bado mechi ataangalia..

Mimi kitu ambacho sikipendi hata kukifatilia sina huo muda..
 
sio point tu even hata kagoli kamoja hawawezi kufunga
 
Bado nina imani ña Taifa stars ila sio ķwa sababu ya kampeni na maombi atakayofańya bashite
kama mchezaji wa kutegemewa ni himidi mao tanzania haitashinda hata gaol moja
 
Taifa stars itapigwa goli nyingi zaidi na Kenya MK254 utakuwa shahidi!
 
Taifa stars itapigwa goli nyingi zaidi na Kenya MK254 utakuwa shahidi!

Wazalendo mandazi nyie, ishabikieni timu yenu ya taifa na kuitakia ushindi. Mimi kama Mkenya nitaishabikia Taifa stars pale itacheza dhidi ya mataifa ya mbali, lakini wakikumbana na timu yetu basi uzalendo mbele.
 
Bado hatujapata timu ya taifa la Tanzania hao tumepeleka wakafanye trial tu warudi, Kenya itaambulia point tatu ila wote tunarudi hata kwa best losers hamtafua dafu
 
Kama timu ikifanyaga vizur wanasema ni juhudi za Serikali ya awamu ya tano basi hata ikifanya vibaya pia waseme vivyo hivyo....
 
Mkuu timu wameigeuza ni mali ya CCM na wala sio ya wananchi wote unategemea nini?

Wachezaji wenyewe sio wote wanaoipenda CCM mle!

Wanageuza mambo ya nchi kua ya kisiasa na kivyama!

Hii team hata niikute inazama mtoni naisukumiza zaidi m@m@ee zao!
 
Jamani wasenegali wenzangu mmeamkaje huko??

Hawa pimbi wa magufuli fc Wana bahati Sana shenzi zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…