Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Wazalendo tunaoamini TAIFA STARS hawatatoka na point hata moja tukutane hapa

Kiukweli kabisa timu yetu imepita kuwa miujiza tu, ni timu mbovu kabisa ambayo uwezo wa wachezaji tu ni mbovu.

Tulipaswa kutengeneza timu yetu hata kwa miaka 20 kama ilivyofanya Senegal

Hatuwezia kuwa na timu ambayo Aina chemistry katika kujengeka katika umoja.

Mpira sio mapenzi ambayo unafanya ukitaka watu wasione unaweza lakini Mpira haupo hivyo.

Najaribu tu kuwa mkweli katika hili

Yani karibu wabunge wote wanataka kwenda huko ili ni dalili za hali mbaya ya uchumi katika nchi yetu.

Nasema hatuwezi kupata hata point moja katika makundi.

Nasema ni kipingo tu.

mr mkiki.
Hata mimi naamini kuwa stars haipata hata point moja. Ikishinda mechi japo moja tu, ntabadili mavazi nivae magauni na sidiria.
 
Miujiza hiyo hiyo itaifanya Taifa Stars ifike mbali.Mimi nawaombea wafike mbali na watuwakilishe vyema.

Tusiwabeze,tuwatie moyo.Tusitegemee Kenya waisifu timu yetu pasipo sisi kuisifu wenyewe.
Kila kitu tunabeza,sisi Watz tukoje?
Nao ilibidi wajitenge na BASHITE, Ndugai na Mwakyembe

Acha wavune walichopanda
 
Miujiza hiyo hiyo itaifanya Taifa Stars ifike mbali.Mimi nawaombea wafike mbali na watuwakilishe vyema.

Tusiwabeze,tuwatie moyo.Tusitegemee Kenya waisifu timu yetu pasipo sisi kuisifu wenyewe.
Kila kitu tunabeza,sisi Watz tukoje?
Tutapigwa tuchakae..........
 
Siku stars akiwa anacheza tumbo la kuhara litanipata tu sijui sababu nini ?
 
Miujiza hiyo hiyo itaifanya Taifa Stars ifike mbali.Mimi nawaombea wafike mbali na watuwakilishe vyema.

Tusiwabeze,tuwatie moyo.Tusitegemee Kenya waisifu timu yetu pasipo sisi kuisifu wenyewe.
Kila kitu tunabeza,sisi Watz tukoje?
Sis tuko kama Tbc kutoonyesha afcon
 
Wale hawaondoki na point hata moja. Ila siwalaumu. Waliahidiwa million kumi kila mmoja hata hawajapewa. Wanalipwa dola 75 kwa siku jamani. Yaani utachezaji mpira na mawazo kibao. Motivation zero kabisa. Mpira ni kazi jamani.
 
Taratibu unakuja upande wetu
 
Ukipitia huu Uzi unaona kwa kiasi gani kama nchi tumepoteza uelekeo
 
Tanzania nchi yangu nitaishangilia hata Kama tutapigwa goli ngapi,mashindano haya ya AFCON miaka ya nyuma tulikua Kuna baadhi ya nchi hususani za Africa magharibi tunazishangilia ila na mtu anajiita yeye shabiki wa nchi flani ila kadri miaka inavyozidi kwenda ule ushabiki umepungua Sana ile Cameron yakina Mboma au Nigeria yakina okocha ilikua na mashabiki wengi Sana ila kadri miaka inavyozidi kwenda watu mapenzi wa nchi za Africa magharibi yamepungua nadhani kutokana nchi hizo kushuka viwango au Watanzania sisi pia tumeanza kujaribu jaribu angalau Bado ni kiujanja ujanja bila mifumo rasmi ila nasisi tunajaribu,binafsi mi nishaacha kushabikia Timu za Africa tofauti na Tanzania katika mashindano ya AFCON maana nchi za Africa hatujazidiana Sana kivile.
 
Back
Top Bottom