Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Hakuna cha special mkuu. Muache limbwata uone mtakavoteseka kwenye mapenzi
Mkuu unajua lugha nzuri (nyama ya ulimi) ni aina ya limbwata.

Wanyika wengi (nikimaanisha watu kama wewe) hawabembelezwi na wanawake wa huko kwao. Sasa wakifika Tanga na wakimpata kimwana aliefundwa namna ya kumtunza mume basi hapo hachoropoki.

Si limbwata mkuu, ni kauli nzuri tu. Wanawake wetu hiyo wanazaliwa nayo - second nature.
 
Najua ni wivu tu maana ukilinganisha na uko kwenu bara naona tumewaachia vumbi[emoji23] [emoji23]
Ya bara hujawahi yala utalinganishaje sasa kwa mfano. Mimi nimekula yote bara na pwani najua taste zote
 
minazi ipo inapatika Pangani Kijiji cha Mauya wew itakuwa unatafuta minazi pangan Mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…