Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Oyoooooooooooooo
14504a898ae158f79794d2ca2115f14b.jpg
mambo ya tanga hayo
Wabara huziita soda za tanga....[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....
Wajua mi nkifika Ta....majisoda mengine hayapandi....mwendo wa healtho tu....
 
Hakuna cha special mkuu. Muache limbwata uone mtakavoteseka kwenye mapenzi
Mkuu unajua lugha nzuri (nyama ya ulimi) ni aina ya limbwata.

Wanyika wengi (nikimaanisha watu kama wewe) hawabembelezwi na wanawake wa huko kwao. Sasa wakifika Tanga na wakimpata kimwana aliefundwa namna ya kumtunza mume basi hapo hachoropoki.

Si limbwata mkuu, ni kauli nzuri tu. Wanawake wetu hiyo wanazaliwa nayo - second nature.
 
Najua ni wivu tu maana ukilinganisha na uko kwenu bara naona tumewaachia vumbi[emoji23] [emoji23]
Ya bara hujawahi yala utalinganishaje sasa kwa mfano. Mimi nimekula yote bara na pwani najua taste zote
 
Utafiti upi tena mkuu ambao sitatumia macho kuona kama imekufa.
Siambiwi naona mwenyewe kwa macho, wilaya ya nazi nyingi ni pangani kwa mkoa wa tanga kule ndo kuna waarabu wa minazi mingi lakini siku izi imekufa na ndo maana coconut annual yield ni ndogo sana kulinganisha na miaka ya nyuma.
minazi ipo inapatika Pangani Kijiji cha Mauya wew itakuwa unatafuta minazi pangan Mjini
 
Back
Top Bottom