ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
- Thread starter
-
- #301
mim najua mashamba yote ya minazi na wanao yamilikiYani wewe uko k/koo unabishana na mimi mfua nazi japokuwa wewe mzawa lakini huna taarifa sahihi ya hali inavoendelea huku kwenu.
Speshowatanga katika suala hili tupo spesho
Mmh namashaka na wwYa bara hujawahi yala utalinganishaje sasa kwa mfano. Mimi nimekula yote bara na pwani najua taste zote
hata mm nina mashaka na huyo mtuMmh namashaka na ww
haswaaa hasa ukiwa bara lazima upamisi haswa kwenye matumizi Tanga maisha Rahisi kabisaTanga raha haswaaa dah napamiss saaana home
Her unazikumbuka keki za anjari? Zilikuwa balaa, kwa PATWA, Suriya the best bakery in Tanzania.Oyoooooooooooooomambo ya tanga hayo
Mkikurupushwa hamkawii kukimbilia Mombasa nyie!
Nice to know the nice to.e girlsLady AJ ukuje huk ndan ya raha leo moja hiyo
mji umedorora mno kiuchumi, licha yakua navitu vyote ulivyoongelea apo lakin bado kwakias kikubwa vimekua sio tija latika kusogeza uchumi wawakazi.Sasa tuzungumze la maana hapa.
Tanga ni mkoa unaoweza kujijenga vizuri sana kiviwanda. Ipo katika uwezo wetu wana Tanga na Watanzania wengineo kuzitumia fursa zilizopo mkoani hapa kujikwamua kiuchumi. Aghalab sio uvivu bali ni kukosa muongozo wa kibiashara tufanye nini.
Nitatoa mifano ya fursa za kibiashara na viwanda zilizopo Tanga. Nikitambo kidogo tangu niwe nyumbani kwa hiyo mifano mingine inaweza kuwa tayari inafanyiwa kazi. Kama ni hivyo nijuze. Pia unakaribishwa kuongeza mifano mingine unayodhani inaweza kutusaidia kibiashara au kiviwanda.
Mifano:
1. Kusindika samaki karibu na bahari.
2. Kusindika nazi (tui la makopo) pamoja na bidhaa nyingine za minazi, kama vile pombe ya mnazi ndani ya kopo.
3. Kusindika matunda (maembe, machungwa, matufaa, n.k.), kutengeneza pombe ya matunda kama hard-cider kutokana na matufaa.
4. Kusindika mboga (kukausha-wanafanya hii sasa, kutia kwenye makopo, n.k).
5. Kutengeneza bidhaa za maziwa kama cheese, shikirimu, n.k.
6. Kutengeneza pombe kali (spirits) kutokana na mkonge (Taquila), kutokana na mnazi (distillery ya pombe ya mnazi), kutokana na pombe ya muwa (boha), kutokana na pombe ya mapumba ya mahindi (kangara).
Nimejaribu kutoa mifano ya kibiashara tunayoweza kiijengea viwanda nayo. Tunashindwa na nini ndugu zangu? Ama kweli penye miti hapana wajenzi. Tuibadilishe hii dhana jamani.
Pengine baadae tunaweza kuweka vichwa chini na kutengeneza Business Plans za baadhi ya hizi fursa.
WAKAYA TEVANA?
Mbona hivyo lakini [emoji124] [emoji124]Haha umeanza maneno yenu ya vibarazani
Hahaha na wewe mtanga, tujuane kwanza emmytaMbona hivyo lakini [emoji124] [emoji124]
Hulali lol.Hahaha na wewe mtanga, tujuane kwanza emmyta
Nifundishe kisambaa mkuu, kuna demu hapa nataka nimtongoze kwa kisambaaWale wa 15, lushoto mjn mpk secomu mpooo??
[emoji122] [emoji122] [emoji122] kweli kabisaTanga ni yetu,, tanga haihami nakupenda tanga wewe ndo kimbilio langu
Tanga sweet home
Nilale, ili ule daku peke yako!Hulali lol.
Ndio kwetu aisee sina budi kujivunia. [emoji2]
nilidhan umelala mkuuNifundishe kisambaa mkuu, kuna demu hapa nataka nimtongoze kwa kisambaa