Kumbe!Nipo Mwifwa ila jana nilikuwa na mambo mengi ya kufanya nyumbani , huku niliingia kwa muda mfupi.
Tanga ndio nyumbani [emoji2]
Uuwii [emoji134] [emoji134] .Kama mimi vile, hapo utakuwa unajua kisukuma tupu[emoji3]
Uchochezi huo sasa.wew mpepelezi bila ya shaka
Kumbe!
Nimeona umechangia kwenye huu uzi hadi nimeshindwa kujizuia kutokuuliza.
Tanga naipata kidogo kama mitaa ya Msambweni, chumbageni, Raska zone, Tanga fresh na Lushoto japo mi sio wa huko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchochezi huo sasa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wewe kipige ngwaraNasikia watu wa Tanga wana miuno feni. ..sasa sijui walikua wana mana gani asee ebu njooni mtoe ufafanuzi wa hiyo statement coz sisi wazee wa chato kiswahili kilishatupiga chenga siku nyingi
Hana lolote huyo analeta maneno ya kwenye vijiwe vya Kahawa huyo. [emoji2]Wewe kipige ngwara
Anataka kuharibu mamboHana lolote huyo analeta maneno ya kwenye vijiwe vya Kahawa huyo. [emoji2]
Hahahaaa!Anataka kuharibu mambo
Mijitu ya bara utaijuatu kwamambo yao yakipuuzi, mashogo yote maarufu insta ni mibara, mambo yakuua vikongwe, kuchunana ngozi yote yanatokea kwao. Sifa zakijinga maneno yakifedhuli yamewatawalaNyumba shoga nyumba mganga
Inabidi uelewe maana ya bara na pwani ili ujue mantiki ya huo msemo, la sivyo wewe ndio unakuwa kituko.
Bisha unavyojihisi, haibadilishi kituMbona Mtwara, Lindi, Mikindani hawatumii huo msemo?
Bisha unavyojihisi, haibadilishi kitu
Inabidi kuwachukulia kama walivyo kwa sababu kama ushoga au huo uganga hauna mwenyewe.Mijitu ya bara utaijuatu kwamambo yao yakipuuzi, mashogo yote maarufu insta ni mibara, mambo yakuua vikongwe, kuchunana ngozi yote yanatokea kwao. Sifa zakijinga maneno yakifedhuli yamewatawala