Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. We si ndio umeileta hiyo hoja jamani. [emoji124] [emoji124]Hahaha mimi tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. We si ndio umeileta hiyo hoja jamani. [emoji124] [emoji124]Hahaha mimi tena!
Ndio nini?ndo zinapopatikana massage centres
Njia panda kwakaeza shushaKabla ya kuendelea Na masomo yangu, nilikuwa kondakta DONGE RASKAZONE..
abiria sikiliza kituo, abiria pesa mbele kama tai bungeni..
MABANDA YA PAPA
MADINA
ZAHARAU
TAMTA
HALTON
KWETU
KWA NANDALA
MZIMUNI
HOSPITALI
NJIA PANDA YA DUNIA HOTELI
KISKOLA
DUKA LA JUMLA
MTI MKAVU
KANISANI
SOKONI MAKORORA
TIGO
KWA BIBI UBUYU
DARAJANI MABOVU
BANDA LA MBAO
MWEMBE SAMAKI
NJIA PANDA YA KWAKAHEZA
KANISANI
RS GARDEN
KIBAO CHA SALUNI
BESHA
MADUKANI
CASCARA VILLA HOTEL
KIBOI
KARAVATI
MSIKITINI
MWEMBE KIGUTU
KANISA LA ROMA
SHELI
KWA MWENYEKITI
DARAJANI
DONGE MWISHOOOO....
INDIAN OCEAN [emoji7][emoji7][emoji7]
DAAAH..... NAKUMISI SANA TANGA
Mmhh na wewe haya mambo unayajua? Uzi umevamiwa huu!boha![]()
![]()
soma toka mwanzo kama umevamia kati kati ndio utanishangaaMmhh na wewe haya mambo unayajua? Uzi umevamiwa huu!
Hehe kwa niaba tu ya wenzanguHahaaa. We si ndio umeileta hiyo hoja jamani. [emoji124] [emoji124]
Me mbona nilikuwepo toka mwanzo sema kuna muda nilienda kuswali labda mkaniacha.soma toka mwanzo kama umevamia kati kati ndio utanishangaa
Mghua shuo! Hii kitu ukinywa lazima asubuhi uhareboha![]()
![]()
we anza mwanzo utajua nilipotokaMe mbona nilikuwepo toka mwanzo sema kuna muda nilienda kuswali labda mkaniacha.
Haya mwenzangu wewe wa wapi? Chumba geni au mkinga?
hahahhahMghua shuo! Hii kitu ukinywa lazima asubuhi uhare
Wanipa mtihani wakwetu,Just to mention!we anza mwanzo utajua nilipotoka
me ni msambaa ogWanipa mtihani wakwetu,Just to mention!
Hehehe, aya buana bibie wa milimani.me ni msambaa og
kaibu mghoshiHehehe, aya buana bibie wa milimani.