ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
- Thread starter
- #721
Pangani Town uje na hiyo njia ndipo nilipoWa kirare njia ya pangani nipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pangani Town uje na hiyo njia ndipo nilipoWa kirare njia ya pangani nipo
Pangani Sehem gani?Pangani moja hapaa
ipi tena?Nakumbuka nyumbani Tanga mapojoni kwani mashine hiyo tulikuwa nayo.
Nadhani mna uzi wenu kule brazaMimi was Arusha
Aki! nilifikiri wewe ni msukumatupogoooo
Watanga mkuje uzi usipoe huu yaan wale chato watushinde na uz wao kwanz kwao porin[emoji18][emoji18][emoji18][emoji29][emoji29][emoji29][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mchokozi wwWatanga mkuje uzi usipoe huu yaan wale chato watushinde na uz wao kwanz kwao porin[emoji18][emoji18][emoji18][emoji29][emoji29][emoji29][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hawajui hilo wamekazania Wapwani wavivuTwalima Mazao ya muda mrefu mkuu ukiwa na kiunga cha minazi na shamba la machungwa ni kuvuna na kufyeka majani tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchokozi ww
Tanga oyeeeenimezaliwa hapa nimesoma hapa,,,na sasa nafanya kazi hapa,,,,!!!!!! proud kuwa mtanga
Haa, kumbe wa-home!Yap tupo mkuu
hawajui huyo bakharesa anachukulia nazi wap?Hawajui hilo wamekazania Wapwani wavivu