Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoto raha, tulikuwa tunaiba majaladio pale Tahfif walikuwa wanayaweka kama kwenye ndoo hivi mlangoni.Hahahaha, na samaki
Posta yote bandarini imejaa meli mbovu tu
au enzi za Kununua kadi tahfif na ice cream pale snow cream
Aise, acha Dar Iwekwe chini ya uangalizi, kuna mambo mengi sana yanaendelea usiku.Jolly ipo, California imebaki Casino
Hahahaha, naikumbuka hii story Range haipaki benki dah long time kulikua kuna ubuyu wa kavu kavu
Mountain bikes, kuna zile tukaita dilela nadhani, walinzi ndio walikua na phonex ,Shanghai
Halafu zamani baiskeli tulikua tunaendesha sana tu watoto
[emoji3][emoji3][emoji3]
Wahenga mlitisha
Ahsante muhenga..shikamooSijuj kama unafahamu hii maana ya neno Daladala.
Dala ilikuwa ni shs 5. Sasa Nauli ya maeneo mengi ilikuwa ni shs 5, kama ilivyo shs 400 siku hizi.
Wapiga debe walikuwa wanasema nauli dala dala. Ndio jina lilipopata umaarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wa uswahilini mitaa ya mabibo maeneo ya kujidai ni kama mwisho ni Magomeni. Kwa mara ya kwanza kuona video ilikuwa pale Morocco Hoteli.
Sinza tulikuwa tunatumia Mabatini ni cha zamani pia.Sana. Nakumbuka Manzese yote, Mburahati, Mabibo, Sinza, Tandale, na magomeni yote vituo vya polisi vilikuwa viwili tu. Urafiki na Magomeni. Kote huko wananchi walikuwa wanajilinda wenyewe na kuendesha maisha yao kwa jinsi wanavyoona!!
Naamini kila mmoja wetu anachukua tahadhari kujikinga na COVID 19.
Je, mhenga mwenzangu unakumbuka dMt, Co cabs, MORETCO, TADECO, CORETCO?
Je, unakumbuka magazeti gani ya zamani, ambayo ukiwa nje ya mikoani gazeti la leo unalisoma baada ya siku mbili?
Je unakumbuka majumba ya sinema na picha zake zilizohit?
Je unakumbuka kumbi gani za starehe zilizokuwa zinawaka moto weekend?
Je unakumbuka Taarifa ya Habari ya saa mbili usiku ilivokuwa muhimu kwa watu aidha kutumbuliwa au kuteuliwa?
Je unakumbuka jinsi vijana walivyokuwa mashujaa wanavyozamia meli kwenda nje?
Wadada wa zamani mnakumbuka mlivyokuwa mnachoma nywele ili kukonga nyoyo za wanaume?
Hebu tukumbushane, ya kale ni dhahabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sinza ya kuanzia Shekilango?Sinza tulikuwa tunatumia Mabatini ni cha zamani pia.
Bata vuzi ni Moto Guzzi. Model ya Pikipiki za kitaliano ila si Vespa, Vespa ni model tofauti.Yap! Vespa ndiyo ilikuwa inaitwa "Batavuzi"
Sinza ya kuanzia Shekilango?
Ha ha ha hii katikati ilikuwa na ka-tv ka chogo!
Aisee!Vijana wa Sinza enzi enzi hizo tukibalehe tulikuwa tunaenda kujipima Uwanja wa Fisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisutu route za kaskazini, Mnazi mmoja route za Mbeya,Iringa enzi za KwachaMabasi ya Mikoani tulikuwa tunapandia Kisutu. Ubungo Terminal ilikuwa garage ya Uda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha hii katikati ilikuwa na ka-tv ka chogo!