Zanzibar 2020 Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

wape ushauri sasa, wafanyeje ili wawe ndani ya dini na kisha wapate dunia yao, maana dunia si haramu ni sehemu ya maisha ya mwanadamu.
Maana mtume alifundisha watu waitafute ahera yao lakini wasisahau dunia yao.

Eleza sasa acha kuzunguuka, wafanyeje ili waipate dunia yao
 
Ndg yangu
Nilishatoa jibu kama ww ni mfuatiliaji mzuri na mwenye kuzingatia

Embu tazama Hadithi hii
kisha naomba ufahamu wako

هذا الحديث رواه أحمد (4987) وأبو داود (3462) وصححه الألباني في صحيح أبي داود .

عَنْ ابْنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُما قَالَ : سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يَقُولُ : (إِذَا تَبَايَعْتُمْ بِالْعِينَةِ ، وَأَخَذْتُمْ أَذْنَابَ الْبَقَرِ ، وَرَضِيتُمْ بِالزَّرْعِ ، وَتَرَكْتُمْ الْجِهَادَ ، سَلَّطَ اللَّهُ عَلَيْكُمْ ذُلًّا لَا يَنْزِعُهُ حَتَّى تَرْجِعُوا إِلَى دِينِكُمْ) .


Naomba ufahamu wako katika haya maneno ya Mtume wako صلى الله عليه وسلم

 
Kisha rejea nyuma

Maneno ya Omar Ibn Khatwaab رضي الله عنه

pale aliponukuliwa akisema

لقد كنّا أذلاء فأعزنا الله بالإسلام ، فإذا إبتغينا العزة بغيره ِ أذلنا الله
 
Toa tsfsiri, siyo kila mtu anajua kiarabu
 
Toa tafsiri
 
Kapige goti kwanza
kisha njoo useme jambo la Dini
Elimu haina mwisho wewe.

Hata ukijua Aya moja tu ni Elimu, na wenye Elimu wanazidiana.

Sasa wewe unaogopa hata kutoa elimu humu halafu unataka watu waitafute!.

Au kutumia mitandao kutoa elimu ni haramu? hahahaha

Salafi Saalihun huwa mna misimamo fulanifulani hivi tata sana!
 


K
Zanzibar ni koloni la Mtanganyika.Heri ya aliekuwa Sultan kuliko Mtanganyika mweusi.Tafuteni uhuru wenu kwa jasho na damu.


Hakuna mwarabu wala mshirazi wala muhindi wala mchina aliyekuja Zanzibar na akakaribishwa kuishi na kufanya ushenzi kwa wazaliwa wa visiwa hivi.

Hawa wanaojifanya waafrika weusi wenzetu na kujifanya ni ndugu zetu baada ya kukaribishwa vizuri na kusaidiwa maisha na kuonekana ni watu wakaribu na rangi moja ndio watu wanaotufanyia ushenzi huu, kutuuwa, kutujeruhi, kuwanajisi watoto wetu , kututeka , kutuibia na kutufanyia kila aina ya uchafu.

Huyu ndiye muafrika
 


Masheikh na ndugu zetu waliofungwa magerezani, pia na hawa ndugu zetu wanaogongewa milango na kuuliwa na kupigwa ,wengine kunajisiwa na kuibiwa , tuisubiri hiyo serikali yako ya kiislamu ije iwafunguwe ???
 
Masheikh na ndugu zetu waliofungwa magerezani, pia na hawa ndugu zetu wanaogongewa milango na kuuliwa na kupigwa ,wengine kunajisiwa na kuibiwa , tuisubiri hiyo serikali yako ya kiislamu ije iwafunguwe ???

Huyo jamaa anaishi ndotoni, eti anaona watu wakimuomba Mungu haiwezi kufanya kazi.

Iko hivi, Yeyote mwenye kudhulumiwa akipiga goti kwa Mungu, Mungu ndiye mwenye kuamua aingilie kati au la. Suala hapo ni kumuomba tu naye ataamua atakavyoona inafaa!

Hata mtenda madhambi akijinyenyekeza kwa Mungu, Mungu anasikia na anaamua!
 
akili mseto

Yaani Allah na Mtume wake,hakuwafunzeni njia ya kufanya....mpaka leo unasema tutumie njia yoyote ile...?!!!

Unataka uondoshe munkar kwa kutumia Munkar

ni sawa na anaejisafisha haja kubwa kwa haja kubwa......

Munkar gani niliyoisema hapa? Nielimishe tafadhali.
 
Kifupi. Bila kuuma uma maneno. Ni kuwa it doesnt work. Haifanyi kazi.


Ndiyo maana ya kuwepo kwa pepo na moto. Laiti hayo mataifa yasingelikuwepo kungeli kuwa na maana gani ya kuwepo hivyo?
 
Tumesema safarihii hatumwachii mungu,uzuri sie wazanzibari tunajuana hawa mapolisi na viongozi tunaishi nao mitaani , tuta deal nao na familia zao kulipaza kisasi.
 
mungu gani? Huyu huyu wa makka au! ..

Alisha zibishwa masikio hasikii tena ajili ya unyama aliofanyia watu weusi. Labda atokee wa kumzibua asikie sara zenu.

Palestina ameshindwa kuwasaidia mpaka leo wanalia na kuchakazwa nguruwe ana nafuu! Wanatamani pemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…